Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
- Thread starter
- #21
Naendesha Crown Mkuu. Mara nyingi wanaonunua V8 ni wenye vi-bamia, wanajaribu kujitutumua kisaikolojia kuonyesha "yangu kubwa!"Sawa dereva wa vieite
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naendesha Crown Mkuu. Mara nyingi wanaonunua V8 ni wenye vi-bamia, wanajaribu kujitutumua kisaikolojia kuonyesha "yangu kubwa!"Sawa dereva wa vieite
Mshangazi unaulizia pesa tena seriously....!!!!
Shughuli tuu sisemi sana...
Utajionea mwenyewe...
😂😂😂😂 Mshangazi wa ajabu wewe...Sasa we wadhani pesa ya kumnunulia ist kibenteni wangu naitoa wapi?
Haya njoo PM. Ukiona sijajibu nipigie kwenye number 100 au tigo yangu ya 911
Kweli kabisa Mkuu, enzi tunahonga Corolla hatukuona usumbufu huu!Corolla haikuwa kuwa na ujinga huo kamwe.
Ndio ninavyoviona mara nyingi Mkuu. Kama na chako ni kichafuchafu basi angalau rudishia rangi ili tusikuweke kundi la hawa shemeji zetu wenye fujoWas "vigari vichafu" necessary in your heading, Bro?
Kuna watu wana asili ya kiburi na jeuri. Ndio maana kunakuta gari za Bei nafuu kama IST zinachukiwa sana bila mantikiWas "vigari vichafu" necessary in your heading, Bro?
Sawasawavichafu vichafu na vilivyochakaa
Ahahahahh 🤣 🤣 🤣 🤣UNA HELA?
Shughuli waiweza?
Nimecheka mpaka ndege nzima wananiangalia mimi[emoji16]Naendesha Crown Mkuu. Mara nyingi wanaonunua V8 ni wenye vi-bamia, wanajaribu kujitutumua kisaikolojia kuonyesha "yangu kubwa!"
Mbona umekasirika sana dada ako amekunyima IST nini ?Katika kuendesha kwangu gari barabarani, nimegundua kwamba madereva wengi wa hivi vigari vidogo vidogo kama IST, wana fujo sana barabarani. Na mara nyingi utakuta ni vigari vichafu vichafu na vilivyochakaa.
Kila nikiangalia dereva wake, nakuta ni vijana wa kiume. Inaonekana wengi wao ni limbukeni ambao wamejibana matumizi hadi kuweza kununua kiji IST cha mtu fulani kakichoka, au wanaendesha gari za dada zao, na sasa wanajiona wao ndio wao, wamekuwa wanaume wa shoka barabarani. Hawana kabisa uvumilivu na ustaarabu wa barabarani. Wanapenda kutanua hata pasipokubalika kutanua, kila wakati ni fujo tu utafikiri wamevuta bangi ya Mufindi. Ukiwa barabara ukakuta gari za upande wa pili zimekwama mara nyingi ni hivi viroboto vimezuia njia. Huwezi kukuta dereva mstaarabu na gari yake safi kafanya ujinga kama huu, ni nadra sana.
Sasa tuwaambie ukweli, hivyo vi IST vyenu na vi VITZ vitawaua sana, nyie endeleeni kujifanya wajuaji wa barabarani. Kuna siku mtanikuta barabarani na mdude wangu fulani wa zamani wa mchanga nitawabamiza kwelikweli. Wee ngoja tu.
The thread isn't about fuel efficiency, and realibility. It's about reckless driving.IST is one of the best car.Fuel consumption ndogo,gharama za service zipo chini na ni reliable car
Hajajua bado kama unapenda waliokuzidi umriMara nyingi ujibugi comment zangu nikiwa naonesha hisia zangu kwako mshangazi wa jf 😂😂😂😂
Nahisi nimelogwa mkuuHajajua bado kama unapenda waliokuzidi umri