Hivi vigari vidogo vidogo vichafu vichafu vya zamani kama hasa IST na VITZ madereva vijana hawa wanafanya fujo sana barabarani

Katika kuendesha kwangu gari barabarani, nimegundua kwamba madereva wengi wa hivi vigari vidogo vidogo kama IST, wana fujo sana barabarani. Na mara nyingi utakuta ni vigari vichafu vichafu na vilivyochakaa.

Kila nikiangalia dereva wake, nakuta ni vijana wa kiume. Inaonekana wengi wao ni limbukeni ambao wamejibana matumizi hadi kuweza kununua kiji IST cha mtu fulani kakichoka, au wanaendesha gari za dada zao, na sasa wanajiona wao ndio wao, wamekuwa wanaume wa shoka barabarani. Hawana kabisa uvumilivu na ustaarabu wa barabarani. Wanapenda kutanua hata pasipokubalika kutanua, kila wakati ni fujo tu utafikiri wamevuta bangi ya Mufindi. Ukiwa barabara ukakuta gari za upande wa pili zimekwama mara nyingi ni hivi viroboto vimezuia njia. Huwezi kukuta dereva mstaarabu na gari yake safi kafanya ujinga kama huu, ni nadra sana.

Sasa tuwaambie ukweli, hivyo vi IST vyenu na vi VITZ vitawaua sana, nyie endeleeni kujifanya wajuaji wa barabarani. Kuna siku mtanikuta barabarani na mdude wangu fulani wa zamani wa mchanga nitawabamiza kwelikweli. Wee ngoja tu.
Mi huwa natamani ingekua hakuna usimamizi wa Sheria ningefunga ngao ya chuma kwenye yangu niwe nikikutana na hivyo vigari kwenye 18 zangu napitanavyo juu Kwa juu haina kusimama kama kwenye Mad Max
 
Jifunze kuheshim alichonacho mtu mana tukienda kwa hadhi hata ulichonacho uwenda takataka kwa walokuzidi.
Sasa mie kwa Crown langu hili poa nikashindane na kina Pididi sijui Dayamondi na madude yao ya wenye vibamia mie nataka nini, yeowii! Naridhika na Crown langu bwana, hapa ndio nimefika. Huu mtama kwa watoto tosha kabisa. Kama wewe una kiji-IST kichafuchafu njoo taratibu tunakusubiri huku kwenye Crown, huenda utatukuta ukiongeza bidii ya kufanya kazi!
 
Mi huwa natamani ingekua hakuna usimamizi wa Sheria ningefunga ngao ya chuma kwenye yangu niwe nikikutana na hivyo vigari kwenye 18 zangu napitanavyo juu Kwa juu haina kusimama kama kwenye Mad Max
Naweza kukuazima tipa langu Mkuu maana limeshachoka mbaya, ligonge tu sina tatizo, ili mradi beseni la kubebea mchanga lisiharibike!
 
Ni kweli kabisa hivi viuchafu vina overtake sana.kikiona kiupenyo kidogo tu kina overtake hadi vinakera sana.
Unajua nimeangalia chini ya huu uzi, nikakuta kumbe kuna Mkuu mmoja alishasema hili tangu 2019! Sasa yeye alisema vipigwe marufuku, dah!

Sasa mie kwa Crown langu hili poa nikashindane na kina Pididi sijui Dayamondi na madude yao ya wenye vibamia mie nataka nini, yeowii! Naridhika na Crown langu bwana, hapa ndio nimefika. Huu mtama kwa watoto tosha kabisa. Kama wewe una kiji-IST kichafuchafu njoo taratibu tunakusubiri huku kwenye Crown, huenda utatukuta ukiongeza bidii ya kufanya kazi!
Kumiliki crown kwako kusikufanye uwaone walokuzidi wanakasoro fulani kwenye miili yao ( wivu ) jitafute punguza manung'uniko.
 
Wewe umechanganyikiwa. Mie nasema nimeridhika wewe unasema nawaona wana kasoro. Hilo sijasema mie wamesema wana saikolojia. Sasa kama husomi machapisho uliza uelezwe hizo theory zimetoka wapi
 
Umesema wanaomiliki v8 wanavibamia prove point yako je ulikuwa unaingiliwa nao ukagundua hilo kupata bahat yakuongwa hako ka crown unakuja kuleta ulimbuken mtandaoni?

BTW. Ulochanganyikiwa ni wewe bado unaweweseka na wamaliki wa v8 walichokufanya nenda kapigwe bomba mkuu utoe huo uchafu kwa anus yko na hiyo crown imekua kama bahat kwko.
 
Hujaenda shule wewe. Nimesema hilo ni chapisho lilisema sio mimi. Hizi ni studies zimefanyika. Kama unapenda migari mikubwa njoo hapa tukukague!

1729604478199.png

1729604783794.png
 
Wanafujo mnoo..na nyingin zimebondwa taa na bampa...au kukwangulia ubavuni...yani sijui wwamekua kama boda boda kwa fujo...
 
Wanafujo mnoo..na nyingin zimebondwa tata na bampa...au kukwangulia ubavuni...yani sijui wwamekua kama boda boda kwa fujo...
Tatizo ni kwamba hawa vijana wanaendesha hizi IST eidha kama gari zao za kwanza au za kuazima kwa dada, halafu wanajisikia ufahari na vidume kama vile wanaendesha Lamborghini!
 
Katika kuendesha kwangu gari barabarani, nimegundua kwamba madereva wengi wa hivi vigari vidogo vidogo kama IST, wana fujo sana barabarani. Na mara nyingi utakuta ni vigari vichafu vichafu na vilivyochakaa.

Kila nikiangalia dereva wake, nakuta ni vijana wa kiume. Inaonekana wengi wao ni limbukeni ambao wamejibana matumizi hadi kuweza kununua kiji IST cha mtu fulani kakichoka, au wanaendesha gari za dada zao, na sasa wanajiona wao ndio wao, wamekuwa wanaume wa shoka barabarani. Hawana kabisa uvumilivu na ustaarabu wa barabarani. Wanapenda kutanua hata pasipokubalika kutanua, kila wakati ni fujo tu utafikiri wamevuta bangi ya Mufindi. Ukiwa barabara ukakuta gari za upande wa pili zimekwama mara nyingi ni hivi viroboto vimezuia njia. Huwezi kukuta dereva mstaarabu na gari yake safi kafanya ujinga kama huu, ni nadra sana.

Sasa tuwaambie ukweli, hivyo vi IST vyenu na vi VITZ vitawaua sana, nyie endeleeni kujifanya wajuaji wa barabarani. Kuna siku mtanikuta barabarani na mdude wangu fulani wa zamani wa mchanga nitawabamiza kwelikweli. Wee ngoja tu.
Mzee unaandika kama uboo umenasia kwenye tupu yako ya nyuma
 
Hee, una mdomo mwingine unaotumia kula chakula?

Wewe utakuwa unaendesha IST ya dada yako aliyopewa na shemeji yako. Halafu sasa, unaweza kukuta mimi ndio huyo shemeji yako. Sasa wapi heshima yangu ya kukutunzia dada yako na kukufanya angalau uwe na gari ya kuendesha mara moja moja unapoenda kuiosha au ukitumwa sokoni na dada yako?
 
Hujaenda shule wewe. Nimesema hilo ni chapisho lilisema sio mimi. Hizi ni studies zimefanyika. Kama unapenda migari mikubwa njoo hapa tukukague!

View attachment 3132711
View attachment 3132716
Kuna mambo mengine ukiwa km mwanaume unajidhalilisha kuja navyo kwa wanaume wenzio, hivi unaanzaje kukosoa size ya dick ya wanaume wenzio kisa chapisho au kwakuwa wanamiliki v8 na wewe umeprove hilo ndiyo mana kias cha kuja kukomaza fuvu hapa ficha funza zako kichwani, ungekuwa haujaprove ungekuja nalo kama swali hapa lakini umekaza fuvu kabsa means nawewe ni sehem ya walofanya hio tafiti sas kw tafit kama hyo nakupa pole mana unaleta makasiriko ya kupigwa pipe kwa kuwachukia wenye ist na vitz et wenye v8 wanavibamia 🤔🤔
 
Back
Top Bottom