MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Ubarikiwe sanaKweli kabisa Mkuu, enzi tunahonga Corolla hatukuona usumbufu huu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubarikiwe sanaKweli kabisa Mkuu, enzi tunahonga Corolla hatukuona usumbufu huu!
Wakubwa watamuNahisi nimelogwa mkuu
Sio watamu tuu pia wanakua wanajua mambo....Wakubwa watamu
Ha ha aaaa pole sana. Kula vizuri ushibeSio watamu tuu pia wanakua wanajua mambo....
We assume shangaz la tanga huko an anakuzingatia kila kitu ili badae mchuane an inakua kama mashindano na mda huo anakua yupo full gado..
Ukichek wasap group zake ni yale magroup ya makungwi sijui...
Wee unaachaje hapo...
Unajua hii inaitwa KONDA KANIBANA ,😂😂😂😂😂😂😂
Nakula sana sana sana tena sana...Ha ha aaaa pole sana. Kula vizuri ushibe
Hiyo tabia ninayo mimi aisee😃😃Na matajiri wa aina yako ndo ukiambiwa "sukari imeisha" unajibu si juzi hapa nimenunua nusu kg mara imeisha. 😅
Unakuta wewe ni kidume kabisa tena pandikizi la miraba minne la m-bantu halisi mwenye manyoya mengi kifuani na kwenye makalio kama dume la nyani au sokwe halafu humu unatumia ID ya kike🤣🤣🤣🤣Waacheni watoto wadogo waje kwangu kwa haraka na fujo zote barabarani.
Unawivu unakusumbua.Naendesha Crown Mkuu. Mara nyingi wanaonunua V8 ni wenye vi-bamia, wanajaribu kujitutumua kisaikolojia kuonyesha "yangu kubwa!"
Acha tu jamaa sijui stress za maisha znamsumbuaNimecheka mpaka ndege nzima wananiangalia mimi[emoji16]
Crown kwa IST chafuchafu?Unawivu unakusumbua.
Unakuta wewe ni kidume kabisa tena pandikizi la miraba minne la m-bantu halisi mwenye manyoya mengi kifuani na kwenye makalio kama dume la nyani au sokwe halafu humu unatumia ID ya kike
Ndio maana ni gari ya kuhonga, usisumbuliwe gharama za mafuta na matengenezo! Wewe jifanye Eloni Maski kahonge Subaru Forester utakoma ujuaji! Ukimwekea wese la elfu 50 Jumatatu, Jumatano asubuhi simu, honey, nimejaziwa mafuta hapa kituoni kumbe sina hela, nilipie plizi nakutumia paybili namba!IST is one of the best car.Fuel consumption ndogo,gharama za service zipo chini na ni reliable car
Hivi ile Vitz yako bado unayo? Nakumbuka ni kama miaka saba toka jamaa akuuzie. Ila mtu wangu unajua kutunza gari, uongo mbaya.Mtoa mada acha kujishebedua.
Hei Fabolous, veri veri cleva man. Thenk yuu!The thread isn't about fuel efficiency, and realibility. It's about reckless driving.
Unajua nini, sometimes shaming is the name of the game. Mtu yeyote mwenye kaa IST kachafuchafu akisoma huu uzi ataacha kuendesha kwa fujo. Issue ni kwamba ukiwa na gari nzuri huwezi kuwa una risk kutanua ovyo ovyo ukwaruzane na bajaji na bodaboda. Kurudishia metalic paint sio mchezo Mkuu.Japo umeandika Kwa dharau sana, nakubaliana na wewe 100%
Sijawahi kuona Executive machines kama Mercedes Benz zinaendeshwa kihuni mjini.
Naendesha Crown Mkuu. Mara nyingi wanaonunua V8 ni wenye vi-bamia, wanajaribu kujitutumua kisaikolojia kuonyesha "yangu kubwa!"
😀😀😀😀Ndio maana ni gari ya kuhonga, usisumbuliwe gharama za mafuta na matengenezo! Wewe jifanye Eloni Maski kahonge Subaru Forester utakoma ujuaji! Ukimwekea wese la elfu 50 Jumatatu, Jumatano asubuhi simu, honey, nimejaziwa mafuta hapa kituoni kumbe sina hela, nilipie plizi nakutumia paybili namba!
Jifunze kuheshim alichonacho mtu mana tukienda kwa hadhi hata ulichonacho uwenda takataka kwa walokuzidi.Crown kwa IST chafuchafu?