😅😅binti kiziwi wana nisema huku.😅
Wana ona wivuu 😅🦅
kutokuwa sawa kupo katika akili zako mwenyewe......! acha ss tukapate mademuHawa vijana wa siku hizi kama mnashindwa kupata wachumba kwa nini msikwende kwa wazazi wenu wawatafutie wachumba.
Yani kama hiki kipindi kinauzunisha sana kwa hawa vijana.