Hivi vinavyopita hewani ni nini?

Watakuwa ni malaika wa mzee wa upako, wamekuja kumuongezea kilevi kwenye konyagi zake.
 
Mafukara bwana ...ufukara mbaya sana hadi manabii..hayo unayoyaona huko.juu ni ya tajiri wa kutisha elon musk ambaye siku si nyingi atatangazwa kua trilionea
 
Wachungaji mithili ya Kibwetere watakuwa wamesha danganya wamama wa kibongo wasiokuwa na imani isiyokaribia hata robo ya mbegu ya haradali.
 
Ila hata mie niliwahi ona ila haikuwa kama hivyo vyenyewe ilikuwa kama nyota zimepangana zinatembea
 
Mbona wengine wanasema ni nyoka aina ya Anakonda🤭🤭🤭
 
Mkuu hata kapicha🤠 🤠
 
Hivi iko kitendo cha Kupitisha mifumo yake kwenye anga la watu ni sawa kweli...

Huyo Elon anabaraka zote za kufanya hivyo nchini kwetu? naona sio vizuri kwa usalama na harakati zetu kama nchi.

Mi nadhani afuate sheria za nchi, hakukubaliwa kutoa huduma yake nchini si kwa bahati mbaya... Inakua haina maana hana huduma anayotoa lakini vifaa vyake vinaendelea ku-operate.
 
Iran huyo anampiga israel
 
Neno hili lisipuuzwe.
 
NI SETELLITE ZA PDIDY ZINAWATAFUTA MONDI NA TALE MAANA WALIKUWA WATAMU MNO KWENYE 6 kwa6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…