Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakuwa ni malaika wa mzee wa upako, wamekuja kumuongezea kilevi kwenye konyagi zake.Habari ya kutwa nzima wana jamvi.
Jioni ya Leo Majira ya saa maja jioni nimeshangaa sana baada ya kuangalia angani upande wa mashariki na kuona vitu mithili ya nyota vikipita, ukivichunguza kwa makini vitu vile utagundua kuwa vimeungana na kutengeneza kitu kama mnyororo unaojongea.
Ili kujiridhisha kuwa nilichokiona ni kweli ama Niko ndatoni nilimpigia jamaa yangu mmoja anayepatikana mkoa mwingine na nikamwuliza kama aliona naye alikiri kuwa ameona na kwamba ameshangazwa sana na kile alichokiona.
Katika harakati za kutaka kujua kiundani nilichokiona niliamua kuwauliza watu tofati tofauti, wakubwa kwa wadogo, wake kwa waume, Watu wa Mungu na wasio wa mungu lakini sikupata majibu yaliyoniridhisha.
Kilichonituma niwaulize wana JF ni majibu niliyopewa na mchungungaji wa kanisa moja lililoko karibu na ninakoishi, yeye alidai kuwa "SIKU ZA MWISHO ZIMEKARIBIA"🤣🤣🤣.
Hivyo basi kama kuna mtu aliyeona kike kilichotokea jioni ya Leo basi atueleze ni nini maana majibu ya mchungungaji sikuyasadiki na sipendi kuyasadiki.
Karibuni.
Na anyongwe.Mtu aliyehusika na kupitisha hivyo vitu mithili ya nyota anyongwe hadi kufa.
Nje ya nchi ama nje ya nyumba huko.mbagala rangitatuAhsante ambao tupo nje ya nchi hatujaona
Bro niache 😀Nje ya nchi ama nje ya nyumba huko.mbagala rangitatu
Kwa hiyo mchungaji anataka kujizolea points 3 kutoka kwangu kwa kuniambia ni dalili za siku za mwisho
LiniIla hata mie niliwahi ona ila haikuwa kama hivyo vyenyewe ilikuwa kama nyota zimepangana zinatembea
Mkuu hata kapicha🤠 🤠Habari ya kutwa nzima wana jamvi.
Jioni ya Leo Majira ya saa maja jioni nimeshangaa sana baada ya kuangalia angani upande wa mashariki na kuona vitu mithili ya nyota vikipita, ukivichunguza kwa makini vitu vile utagundua kuwa vimeungana na kutengeneza kitu kama mnyororo unaojongea.
Ili kujiridhisha kuwa nilichokiona ni kweli ama Niko ndatoni nilimpigia jamaa yangu mmoja anayepatikana mkoa mwingine na nikamwuliza kama aliona naye alikiri kuwa ameona na kwamba ameshangazwa sana na kile alichokiona.
Katika harakati za kutaka kujua kiundani nilichokiona niliamua kuwauliza watu tofati tofauti, wakubwa kwa wadogo, wake kwa waume, Watu wa Mungu na wasio wa mungu lakini sikupata majibu yaliyoniridhisha.
Kilichonituma niwaulize wana JF ni majibu niliyopewa na mchungungaji wa kanisa moja lililoko karibu na ninakoishi, yeye alidai kuwa "SIKU ZA MWISHO ZIMEKARIBIA"🤣🤣🤣.
Hivyo basi kama kuna mtu aliyeona kike kilichotokea jioni ya Leo basi atueleze ni nini maana majibu ya mchungungaji sikuyasadiki na sipendi kuyasadiki.
Karibuni.
Imeshatumwa sema hujaona tu.Mkuu hata kapicha🤠 🤠
Iran huyo anampiga israelHabari ya kutwa nzima wana jamvi.
Jioni ya Leo Majira ya saa maja jioni nimeshangaa sana baada ya kuangalia angani upande wa mashariki na kuona vitu mithili ya nyota vikipita, ukivichunguza kwa makini vitu vile utagundua kuwa vimeungana na kutengeneza kitu kama mnyororo unaojongea.
Ili kujiridhisha kuwa nilichokiona ni kweli ama Niko ndatoni nilimpigia jamaa yangu mmoja anayepatikana mkoa mwingine na nikamwuliza kama aliona naye alikiri kuwa ameona na kwamba ameshangazwa sana na kile alichokiona.
Katika harakati za kutaka kujua kiundani nilichokiona niliamua kuwauliza watu tofati tofauti, wakubwa kwa wadogo, wake kwa waume, Watu wa Mungu na wasio wa mungu lakini sikupata majibu yaliyoniridhisha.
Kilichonituma niwaulize wana JF ni majibu niliyopewa na mchungungaji wa kanisa moja lililoko karibu na ninakoishi, yeye alidai kuwa "SIKU ZA MWISHO ZIMEKARIBIA"🤣🤣🤣.
Hivyo basi kama kuna mtu aliyeona kike kilichotokea jioni ya Leo basi atueleze ni nini maana majibu ya mchungungaji sikuyasadiki na sipendi kuyasadiki.
Karibuni.
Neno hili lisipuuzwe.Hivi iko kitendo cha Kupitisha mifumo yake kwenye anga la watu ni sawa kweli...
Huyo Elon anabaraka zote za kufanya hivyo nchini kwetu? naona sio vizuri kwa usalama na harakati zetu kama nchi.
Mi nadhani afuate sheria za nchi, hakukubaliwa kutoa huduma yake nchini si kwa bahati mbaya... Inakua haina maana hana huduma anayotoa lakini vifaa vyake vinaendelea ku-operate.
NI SETELLITE ZA PDIDY ZINAWATAFUTA MONDI NA TALE MAANA WALIKUWA WATAMU MNO KWENYE 6 kwa6Habari ya kutwa nzima wana jamvi.