Hivi viongozi wanaamua kutengeneza taifa la wajinga?

Kuna siku nilitafakari kuwa IQ ya tanzania inazidi kupunguzwa na hawa wapumbavu CCM.kuna mambo ya kijinga wakiona una watu ndio wanakuzamini,mfano chief god lobe anapewa mpaka sapport serikalini.Unajiuliza hivi kwa kipi tuje hawa wapumbavu wasanii ambao kisa wana wafuwasi basi wafanye upumbavu wao wasaidie chama.
 
Wamefanya nn maana nilishaachaga kufuatilia unafiki wa icho Chama.
Kimewageuza Watanzania kuwa wajinga na wasio na maono kabisaa.
 
kwa yanayoendelea Tanzania yanasikitisha sana,tena ukitegemea wanayoyapromote ni viongozi walioko selikarini pamoja na chama cha CCM

Ukiangalia waasisi wa hiki chama walikuwa watu makini sana kuwatengeneza vijana ambao ndiyo viongozi wa sasa, lakini wenyewe wamegeuka kuwa waharibifu kwa vijana ambao ndiyo taifa la kesho,mfano angalia ujinga unaofanywa kila siku kwa mgongo wa CCM,

Naamini ile Tanzania iliyokuwa inatajwa kwa misimamo yake imara ya Nyerere inaenda au imeshakuwa ni taifa la aibu, hata kujitambulisha kusema mimi ni raia wa Tanzania imekuwa aibu, maana wameanza kuzarauliwa viongozi wetu mpaka raia,afadhali kipindi kile Magufuli alituheshimisha lakini siyo kwa ujinga unaondelea hivi sasa,

Inasikitisha sana,hamna cha wasomi, Viongozi wa dini wala nani,tumegeuka kama inchi ya kusadikika
Bongo dslaaam
 
Viongozi wenyewe wajinga unategemea nini cha ziada
 
Una pointi lakini be specific mkuu
 
CCM imetengeneza wakina lucas mwashambwa wakutosha ni hatari kwa usalama wa nchi
 
Tusipoangalia tutakuja kuwa kama Congo,maana wasaani na watu washenzi ndiyo wamekuwa kioo cha jamii,hata wakati wa Mabutu Seseseko wanamuziki ndiyo walioonekana kama kio cha jamii,inchi ikawa ya kichawa,leo hii wanapigwa na kainchi kenye ukubwa sawa na wilaya ya Congo,wamebaki kulialia,
Hatuna tena vijana wazalendo hata waliopo wanaitwa wapinzani, wamebaki kupuuzwq na kutekwa wanaopewa kipaumbele ni wale wasiokuwa na akili kina Dotto magari,Mwijaku na wengine,kwa kuwaangalia tu leo mfano tumevamiwa si ndiyo watakuwa wa kwanza kuikimbia inchi
Nimekuwa nikisema sana hilo
Na nna usemi wangu humu nasemaga tz sahv iko kama kongo na inazidi kuelekea huko
Taifa limekuwa la wakata mauno

Ova
 
Tusipoangalia tutakuja kuwa kama Congo,maana wasaani na watu washenzi ndiyo wamekuwa kioo cha jamii,hata wakati wa Mabutu Seseseko wanamuziki ndiyo walioonekana kama kio cha jamii,inchi ikawa ya kichawa,leo hii wanapigwa na kainchi kenye ukubwa sawa na wilaya ya Congo,wamebaki kulialia,
Hatuna tena vijana wazalendo hata waliopo wanaitwa wapinzani, wamebaki kupuuzwq na kutekwa wanaopewa kipaumbele ni wale wasiokuwa na akili kina Dotto magari,Mwijaku na wengine,kwa kuwaangalia tu leo mfano tumevamiwa si ndiyo watakuwa wa kwanza kuikimbia inchi
Watavuna tu walichokipanda

Ova
 
kwa yanayoendelea Tanzania yanasikitisha sana,tena ukitegemea wanayoyapromote ni viongozi walioko selikarini pamoja na chama cha CCM

Ukiangalia waasisi wa hiki chama walikuwa watu makini sana kuwatengeneza vijana ambao ndiyo viongozi wa sasa, lakini wenyewe wamegeuka kuwa waharibifu kwa vijana ambao ndiyo taifa la kesho,mfano angalia ujinga unaofanywa kila siku kwa mgongo wa CCM,

Naamini ile Tanzania iliyokuwa inatajwa kwa misimamo yake imara ya Nyerere inaenda au imeshakuwa ni taifa la aibu, hata kujitambulisha kusema mimi ni raia wa Tanzania imekuwa aibu, maana wameanza kuzarauliwa viongozi wetu mpaka raia,afadhali kipindi kile Magufuli alituheshimisha lakini siyo kwa ujinga unaondelea hivi sasa,

Inasikitisha sana,hamna cha wasomi, Viongozi wa dini wala nani,tumegeuka kama inchi ya kusadikika
Tena nimekuja kugundua hawa tunao waita viongozi wa dini , viongozi wa taasisi mbali mbali , ma profesa wamekuwa watu wa hovyo kweli kweli akili wameziweka kando ni mwwndo wa kusifia ujinga kweny redio na tv ndo usiseme , ni hasara kwa taifa
 
Back
Top Bottom