Hivi viongozi wanaamua kutengeneza taifa la wajinga?

Kuna siku nilitafakari kuwa IQ ya tanzania inazidi kupunguzwa na hawa wapumbavu CCM.kuna mambo ya kijinga wakiona una watu ndio wanakuzamini,mfano chief god lobe anapewa mpaka sapport serikalini.Unajiuliza hivi kwa kipi tuje hawa wapumbavu wasanii ambao kisa wana wafuwasi basi wafanye upumbavu wao wasaidie chama.
 
Wamefanya nn maana nilishaachaga kufuatilia unafiki wa icho Chama.
Kimewageuza Watanzania kuwa wajinga na wasio na maono kabisaa.
 
Bongo dslaaam
 
Viongozi wenyewe wajinga unategemea nini cha ziada
 
Una pointi lakini be specific mkuu
 
CCM imetengeneza wakina lucas mwashambwa wakutosha ni hatari kwa usalama wa nchi
 
Nimekuwa nikisema sana hilo
Na nna usemi wangu humu nasemaga tz sahv iko kama kongo na inazidi kuelekea huko
Taifa limekuwa la wakata mauno

Ova
 
Watavuna tu walichokipanda

Ova
 
Tena nimekuja kugundua hawa tunao waita viongozi wa dini , viongozi wa taasisi mbali mbali , ma profesa wamekuwa watu wa hovyo kweli kweli akili wameziweka kando ni mwwndo wa kusifia ujinga kweny redio na tv ndo usiseme , ni hasara kwa taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…