Hivi viongozi wetu mnajiskiaje kwa kutomteua Pascal Mayalla kulitumikia taifa letu

Hivi viongozi wetu mnajiskiaje kwa kutomteua Pascal Mayalla kulitumikia taifa letu

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Sito andika sana katika uzi huu bali nitatoa swali tu.

Hivi viongozi wetu mnajiskiaje kwa kuto mteua Pascal Mayalla kulitumikia taifa letu?

Yaani hapa lazima kieleweke.

Kwa kuanzia Bwana Pascal Mayalla anafaa kuwa mkuu wa mkoa au wilaya au mkurugenzi au mbunge wa kuteuliwa. Kati ya hizo nafasi hapo zote zinamfit Bwana Pascal Mayalla.
 
....Mtoa hoja nawe unarudia makosa ya hao unaowasema,huyu ni ADV.MAYALA, lazima umtambulishe hivyo, kasomea na ame graduate sheria,mpe heshima yake pls
 
Hakuna cha kuangaliwa Pascal ana uwezo mkubwa haitaji kuangaliwa kiivyo.
Hapana. Lazima aangaliwe maana kuna kipindi cha nyuma alikuwa anandika nyuzi za kukiponda chama. Alibadilika tu miaka kadhaa hapo nyuma.. uwezo wake mkubwa akilinganishwa na wewe but kwa wanachama mwingine ni wa kawaida.
 
MUDA WAKE UNAKUJA. ANAANGALIWA ANGALIWA. SEMA NAYE ANATAKIWA AKAZANE MAANA KUNA KIPINDI ANAJISAHAU.
Tatizo mnafiki!! Ila alimuuliza swali tamu Magufuli mpaka akapaniki namnukuu " Mh.Rais ulitumia ibara gani kwenye katiba kupiga marufuku mikutano ya siasa"???? Hili swali sitalisahau magu alichanganyikiwa akamwambia maana ya Mayala ni Njaa
 
Back
Top Bottom