mfuga kuku
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 824
- 650
Hapo ndio ushamtibulia njia yake! hata kama alikua anafikiriwa huyo ndio basi tenaSito andika sana katika uzi huu bali nitatoa swali tu.
Hivi viongozi wetu mnajiskiaje kwa kuto mteua Pascal Mayalla kulitumikia taifa letu?
Yaani hapa lazima kieleweke.
Kwa kuanzia Bwana Pascal Mayalla anafaa kuwa mkuu wa mkoa au wilaya au mkurugenzi au mbunge wa kuteuliwa. Kati ya hizo nafasi hapo zote zinamfit Bwana Pascal Mayalla.