PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Umeshajipigia Kampeni umeona imeshindikana, sasa umegeukia kwa Pascal Mayala.Sito andika sana katika uzi huu bali nitatoa swali tu.
Hivi viongozi wetu mnajiskiaje kwa kuto mteua Pascal Mayalla kulitumikia taifa letu?
Yaani hapa lazima kieleweke.
Wewe unadhani huyo ni wa kupigiwa Kampeni? Huyo alishatusua kitambo, tatizo lenu mnadhani kila kitu ni cha kutangazwa au kila mtu ni wa kuteuliwa kwenye hizo nafasi mlizokaririshwa