Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Unataka Apewe cheo gani Mkuu maana tuambie ili tuone tunamuigiza wapiSito andika sana katika uzi huu bali nitatoa swali tu.
Hivi viongozi wetu mnajiskiaje kwa kuto mteua Pascal Mayalla kulitumikia taifa letu?
Yaani hapa lazima kieleweke.
Hakuna cha kuangaliwa Pascal ana uwezo mkubwa haitaji kuangaliwa kiivyo.MUDA WAKE UNAKUJA. ANAANGALIWA ANGALIWA. SEMA NAYE ANATAKIWA AKAZANE MAANA KUNA KIPINDI ANAJISAHAU.
Kwa kuanzia anafaa kuwa mkuu wa mkoa au wilaya au mkurugenzi au mbunge wa kuteuliwa. Kati ya hizo nafasi hapo.Unataka Apewe cheo gani Mkuu maana tuambie ili tuone tunamuigiza wapi
Sawa atapata ni swala la MudaKwa kuanzia anafaa kuwa mkuu wa mkoa au wilaya au mkurugenzi au mbunge wa kuteuliwa. Kati ya hizo nafasi hapo.
Wawania teuzi ni wengi tatizo na kujuanalismSito andika sana katika uzi huu bali nitatoa swali tu.
Hivi viongozi wetu mnajiskiaje kwa kuto mteua Pascal Mayalla kulitumikia taifa letu?
Yaani hapa lazima kieleweke.
Nikuombe radhi boss kwa makosa ya uandishi.....Mtoa hoja nawe unarudia makosa ya hao unaowasema,huyu ni ADV.MAYALA, lazima umtambulishe hivyo, kasomea na ame graduate sheria,mpe heshima yake pls
Hapana. Lazima aangaliwe maana kuna kipindi cha nyuma alikuwa anandika nyuzi za kukiponda chama. Alibadilika tu miaka kadhaa hapo nyuma.. uwezo wake mkubwa akilinganishwa na wewe but kwa wanachama mwingine ni wa kawaida.Hakuna cha kuangaliwa Pascal ana uwezo mkubwa haitaji kuangaliwa kiivyo.
Na hii ni ID yake au ya Chawa wake?Hakuna cha kuangaliwa Pascal ana uwezo mkubwa haitaji kuangaliwa kiivyo.
Jamani jamani.Tungemchagua Ila hajui kusifu.....haendi na kipindi
Tatizo mnafiki!! Ila alimuuliza swali tamu Magufuli mpaka akapaniki namnukuu " Mh.Rais ulitumia ibara gani kwenye katiba kupiga marufuku mikutano ya siasa"???? Hili swali sitalisahau magu alichanganyikiwa akamwambia maana ya Mayala ni NjaaMUDA WAKE UNAKUJA. ANAANGALIWA ANGALIWA. SEMA NAYE ANATAKIWA AKAZANE MAANA KUNA KIPINDI ANAJISAHAU.
Umeona eeeeh....mbinu za kitoto, za kizamani sana.Nyuma ya Id tofauti,hongera mleta mada huwenda utakumbukwa.
Uzi ndio tayari mkuu ?