Hivi viongozi wetu mnajiskiaje kwa kutomteua Pascal Mayalla kulitumikia taifa letu

Sito andika sana katika uzi huu bali nitatoa swali tu.

Hivi viongozi wetu mnajiskiaje kwa kuto mteua Pascal Mayalla kulitumikia taifa letu?

Yaani hapa lazima kieleweke.
Umeshajipigia Kampeni umeona imeshindikana, sasa umegeukia kwa Pascal Mayala.
Wewe unadhani huyo ni wa kupigiwa Kampeni? Huyo alishatusua kitambo, tatizo lenu mnadhani kila kitu ni cha kutangazwa au kila mtu ni wa kuteuliwa kwenye hizo nafasi mlizokaririshwa
 
Sito andika sana katika uzi huu bali nitatoa swali tu.

Hivi viongozi wetu mnajiskiaje kwa kuto mteua Pascal Mayalla kulitumikia taifa letu?

Yaani hapa lazima kieleweke.
Sidhani kama kulitumikia taifa, ni mpaka uwe na nafasi kubwa serikalini! Binafsi, Pascal Mayalla namuona ni mmoja ya Watanzania wenye mchango mkubwa kwenye Taifa hili, hasa kwenye kuelimisha wengine, na mimi ni mmoja ya wafaidika naye, pamoja na kuwa sijawahi kuonana naye live! Pia hapa JF wapo wengi sana wanaotoa misaada ya ushauri,pamoja na kuwa hawapo Serikalini, ambayo hatuwezi kuipata kutoka hata kwa Waziri MWANA FA!
Ndugu zangu, MCHAWI TUMCHUKIE, LAKINI SIFA ZAKE TUMPE!
 
Sawa boss, ungejua siasa ni akili ungenyamaza kimya na kusubiri matokeo. Sisi huwa hatuchoki wala kuzimia emu kaa kwa kutulia usubiri tuone.
 
Hamtaamini Ila Njaa Atalamba Teuzi Mpaka Mtabaki Midomo Wazi
Amesotea Sana Chance Ila Zamu Inakuja Ashone Suit Sasa
 
Sito andika sana katika uzi huu bali nitatoa swali tu.

Hivi viongozi wetu mnajiskiaje kwa kuto mteua Pascal Mayalla kulitumikia taifa letu?

Yaani hapa lazima kieleweke.
Soon atapata, Pascal Mayalla alifanya kazi na JK, JK na Mama hawatofautiani lugha, ni suala la muda tu
 
Sito andika sana katika uzi huu bali nitatoa swali tu.

Hivi viongozi wetu mnajiskiaje kwa kuto mteua Pascal Mayalla kulitumikia taifa letu?

Yaani hapa lazima kieleweke.

Pendekeza ateuliwe kwenye ngazi ipi??, ukuu wa mkoa, Wilaya, unaibu waziri, uwaziri, ukatibu mkuu, ukurugenzi nk!!, jaribu kudadavua ili wahusika wajue.

Na utoe sababu zenye mashiko kwanini huyo Pascal Mayalla ateuliwe.
 
Sito andika sana katika uzi huu bali nitatoa swali tu.

Hivi viongozi wetu mnajiskiaje kwa kuto mteua Pascal Mayalla kulitumikia taifa letu?

Yaani hapa lazima kieleweke.
Amekutuma eeh? Pamoja na kujikomba kote kule na nyuzi za kinafiki bado hajateuliwa tu?? Pole yake, Wallah!!
 
Hatakuwa hafai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…