Hivi viongozi wetu mnajiskiaje kwa kutomteua Pascal Mayalla kulitumikia taifa letu

Hapo ndio ushamtibulia njia yake! hata kama alikua anafikiriwa huyo ndio basi tena
 
Kwa hiyo umekuja na ID nyingine kujipa promo? Uongozi hauji kwa kujipendekeza na kulazimisha bali huja kutokana na macho ya Mungu na kibali machoni pa watu! Huyu hafai kabisa kuwa kiongozi!
 
Unateua kikongwe aliyekataliwa na Chama chake ili umpeleke wapi ?

Wanawe akina Lijuakali , Nassary na Joketi ni ma DC , unataka huyu mzee ashiriki semina elekezi na hawa ?

Ujana wake wote kapuyanga uzeeni ndio mnamtaka ?
 
Utakuja na Multiple IDs zako zote Kudadadeki ila hakuna Rais mwenye Akili akapoteza muda wake Kukuteua / Kumteua katika Serikali
 
Mm,hebu tupe vigezo ambavyo vinamfanya Paschal kufaa kuteuliwa kuwa kiongozi wa kitaifa,usibwate tu.Au kakutuma kumpigia debe,maana post yenyewe imekaa kidebe debe hivi.
 
Unateua kikongwe aliyekataliwa na Chama chake ili umpeleke wapi ?

Wanawe akina Lijuakali , Nassary na Joketi ni ma DC , unataka huyu mzee ashiriki semina elekezi na hawa ?

Ujana wake wote kapuyanga uzeeni ndio mnamtaka ?
Da we mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…