Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,943
Mtihani mkubwa huu
kweli kabisa na wengi hatujui haki wala wajibu wetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli kabisa na wengi hatujui haki wala wajibu wetu.
Sema tu hii nchi watu wengi hawana hata ABC ya sheria
Hata Mabeyo haruhusiwi kupanda gari ya umma bure sembuse Sajenti, koplo au Private soldier
Ndio maana serikali inajiamulia tu jambo lolote na wananchi kimya
Yes. Afisa wa TPDF ni very smart woman /man kuliko maafisa wa majeshi mengine.Ma ofisa wa Jeshi wana discipline sana wala huwezi kuwakuta wakitaka kupewa huduma yoyote ile bure bure,wenye shida hizo labda ni wale washkaji wenye vyeo vya chini.
dodge
Hahah aisee ni kweli mkuu,JW Officers wako tofauti kabisa na hawa jamaa zetu wengine.Yes. Afisa wa TPDF ni very smart woman /man kuliko maafisa wa majeshi mengine.
Utamwona Afisa wa Magereza na sare zake kapanda daladala, aibu naona mimi
Kachimba mkwara tu wengine migambo tu wanataka kushughulisha tu.
Kiutaratibu askari anapokuwa na uniform na yupo kituoni akisubiri usafiri akipanda gari huwa hatoi nauli maana yupo kwaajili ya usalama wa chochote kitakachotokea yeye ndio anakuwa mlengwa namba moja na kwa kawaida kama ni gari ya abiria inayofanya ruti ndani ya mkoa hapaswi kulipa nauli ila si nje ya mkoa na pia kama wako wengi kituo kimoja hawatakiwi kupanda gari ya abiria zaidi ya 3 maana ile siyo gari ya kazi ni gari ya biashara wanajeshi ni waungwana sana sidhani kama kuna wanajeshi wa hivyo unaowasema wewe sh 100 haiwezi kumvua nguoSema tu hii nchi watu wengi hawana hata ABC ya sheria
Hata Mabeyo haruhusiwi kupanda gari ya umma bure sembuse Sajenti, koplo au Private soldier
Ndio maana serikali inajiamulia tu jambo lolote na wananchi kimya
Kweli kabisa lakini mbali na uungwana wao wanapenda baadhi yao wanapenda sana utemi,sidhani kama alivyosema kitambulisho alimaanisha cha Nida na haya mambo ya nina kitambulisho tunakutana nayo sana.Kiutaratibu askari anapokuwa na uniform na yupo kituoni akisubiri usafiri akipanda gari huwa hatoi nauli maana yupo kwaajili ya usalama wa chochote kitakachotokea yeye ndio anakuwa mlengwa namba moja na kwa kawaida kama ni gari ya abiria inayofanya ruti ndani ya mkoa hapaswi kulipa nauli ila si nje ya mkoa na pia kama wako wengi kituo kimoja hawatakiwi kupanda gari ya abiria zaidi ya 3 maana ile siyo gari ya kazi ni gari ya biashara wanajeshi ni waungwana sana sidhani kama kuna wanajeshi wa hivyo unaowasema wewe sh 100 haiwezi kumvua nguo
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudia tena kusoma thread ukikuta kuna neno mwanajeshi njoo uniquote........chunga sana kauli zinalemaza akili.Sasa kama hakutoa kitambulisho umejuaje kama ni mwanajeshi? Au ndio kuwashwa kwenyewe huko??
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena wapo na wanafanya sana!Mkuu unatoaje lawama kwa wapiganaji wetu kisa huyo raia aliyetoroka mafunzo ya mgambo! To be honest sijawahi ona makamanda wetu wanaleta ubabe kisa tu wana mamlaka ktk nchi.
5/5
Mkuu hiyo sheria ya mwanajeshi au askari kupanda gari bure imeandikwa kwenye katiba gani?Kiutaratibu askari anapokuwa na uniform na yupo kituoni akisubiri usafiri akipanda gari huwa hatoi nauli maana yupo kwaajili ya usalama wa chochote kitakachotokea yeye ndio anakuwa mlengwa namba moja na kwa kawaida kama ni gari ya abiria inayofanya ruti ndani ya mkoa hapaswi kulipa nauli ila si nje ya mkoa na pia kama wako wengi kituo kimoja hawatakiwi kupanda gari ya abiria zaidi ya 3 maana ile siyo gari ya kazi ni gari ya biashara wanajeshi ni waungwana sana sidhani kama kuna wanajeshi wa hivyo unaowasema wewe sh 100 haiwezi kumvua nguo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wenye magari hawajui sheria ndio maana wanajaza hadi kusimamisha asa wao wanamakosa wataonaje kosa la mwingine hivyo kitaalamu inaitwa ngoma droo ukiwabana nao wanakubana kitu kinabalanceSema tu hii nchi watu wengi hawana hata ABC ya sheria
Hata Mabeyo haruhusiwi kupanda gari ya umma bure sembuse Sajenti, koplo au Private soldier
Ndio maana serikali inajiamulia tu jambo lolote na wananchi kimya
Kwahiyo Bongo tunaishi kwa ujanjaujanja na kwa kupindua sheria !!!!Hata wenye magari hawajui sheria ndio maana wanajaza hadi kusimamisha asa wao wanamakosa wataonaje kosa la mwingine hivyo kitaalamu inaitwa ngoma droo ukiwabana nao wanakubana kitu kinabalance
Sent using Jamii Forums mobile app