Hivi vitu ndio vilinifanya nigome kutoka Jiji la Dar es Salaam

Dar imekuwa overrated kinyama

Sijui labda sababu nimezaliwa na kukulia Dar nimepazoea sana lakini sionagi uspesho wake
Mkuu ukitembelea mikoa/miji mingine ndo utajua kuwa mtazamo wako siyo sahihi. Dar ndo Tanzania na ndo maana wanasiasa na wafanya biashara asilimia 99.99999 wanaishi au wana makazi (nyumba) Dar.
 
Haina haja ya kuijadili DSM tulete mifano nikiwa point A nilikuwa hivi na baada ya kuja DSM umepata nini, na kabla ya DSM ulikuwa na vigezo gani vya upambanaji, au vya kupatia pesa ambavyo havikufanya kazi kwingine.

Wenye pesa za kilimo, mbao, madini, mashamba ya miti, na tunaosafiri kwenye cities mfano tu Africa mashariki haina haja ya kuongea sana. Riziki ni Mungu.

Pesa ni majaaliwq ya Mungu katika njia zako, iwe mikono, miguu, macho, mdomo, masikio, na mengine mengi.

Dsm should be credited comparatively and with specific criteria. It starts with oneself. How good and how bad is Dar treating you since when, when you had what of which was the same before being in DSM, and with the same attributes that are with you ukiwa DSM have tested urself mikoa mingine.

Life reflections are based on multiple control parameters.
 
You are right. Mawaziri wote walihamishiwa dodoma lka wanalala Dar kazi wanaamkia dodoma
 
Uchawi sana mkoani
 
Jishangae wewe Kwa hoja yako. Nasisitiza tena tuko nyuma sanaaa. Uko U.k ,France, south A au USA yote yanayoitwa majiji ndani ya hiyo nchi karibia yanafanana kuanzia miundo mbinu na huduma za kijamii wakati sisi hapa ni hamna Kitu.
Kwa hiyo sahivi umeamia kwenye miundonbinu Tena umetengeneza hoja nyingine we ni koboko alafu inaonyesha hujui unachosimamia

Point yako ya kwanza kwanin dar ni dominant ukawa unashangaa nikakukumbusha hata nchi nyingine Kuna miji ambayo ni infrastructure nikakutoea mfano u.k hakuna mji unakaribia London, au ni mji gani ufaransa unakaribia Paris, unaongea vitu usivyovijua

point ya mleta uzi sio mambo ya infrastructure Bali opportunity zilizopo dar ni nyingi tofauti na miji mingine
 
Nani kakudanganya new York ndo kila kitu asikudanganye mtu same kwa china Shanghai ndo mji wa kibiashara

Tunaongelea opportunity we unaongelea mambo ya mpira hivi unaakili timamu kweli, kwakusaidia timu za London ndo zinaongoza kwa kuwa na gharama kubwa za tiketi za kuingia uwanjani lakin point ni opportunity na sio mpira siku nyingine jikite kwenye mada

Unavyosema concentration vip France kila kitu kipo Paris, same kwa Russia kila kitu kipo Moscow ukienda south Korea vitu vingi vipo Seoul na hizo zote ni developed countries
 
Unyama Kaka umenifunza kitu mnyamwezi
 
Sehemu yeyote kama huna hela lazima uteseke hata US
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…