Kumbe pamoja na mafoleni, jua kali na majasho lakini bado unarudi kupumzika huko baada ya kazi, hahahahSerikali imeacha familia Dar ndio maana wanarudi sana…
Mkoa gani huo watu wanaenda nyumbani saa 2? Niko mkoani lkn nyumbani naendaga hata saa 10 alfajiri [emoji1787]
Basi tuseme na sisi wengine tuna sababu zinazopelekea Dar tupaone kawaida..
mm binafsi, lile jua linavyowaka + mafoleni mimi kwa kweli Dar nakuja Kupenzika na kusalimia [emoji119]
Sijasema nakuja kupumzikaKumbe pamoja na mafoleni, jua kali na majasho lakini bado unarudi kupumzika huko baada ya kazi, hahahah
Hata mimi nimeliona hilo. Wale janjajanja walioiongia mitini enzi za jiwe, sasa hivi naona wanarudi. Nawaona sana hapa Posta umachingani kwangu.Pesa za hivyo ni za WIZI na nyingi zinatokana na upigaji kwenye vyanzo vya pesa za serikali a.k.a kulamba asali.
Enzi za jiwe watu wa aina hii walikimbia mji.
Utakuta anaiponda Arusha wakati yeye mwenyewe ni wakuja hapo Dsm kutoka huko kwao.ww kwenu wapi mkuu?[emoji41]
hakika pia vijana wengi wa kibongo kazi kusifia watu walio fanikiwa ukiwauliza swali dogo tu hivi huko dar wanakosema kuwa kuna wepesi wa kupata hela kuliko kijijini ukiwauliza wakupe njia ya kupatia mtaji wanaaza kujiuma umaMimi bado sija elewa lengo la huu Uzi Ni kwamba una shauri watanzania million 60 wote wahamie dar? Na hizo sehem nyingine tuwaachie wakenya waganda na wasudani walime wafuge alafu watuletee watanzania tulio jirundika dar mazao matunda nyama na maziwa? Ninacho kiona hapa Ni umaskini wa taifa letu kimiundo mbinu. tukiweza kua na treni za kisasa za umeme mtu akaweza kufanya kazi dar na kulala mbeya au mwanza ubishani wa kipumbavu Kama huu hauta kuwepo
tena anaishi nyumba ya kupanga huko mabondeni hana anacho miliki tofaoti na cm na jinsUtakuta anaiponda Arusha wakati yeye mwenyewe ni wakuja hapo Dsm kutoka huko kwao.
Kwani wote wanaoishi mikoani wanaishi kwenye nyumba zao?tena anaishi nyumba ya kupanga huko mabondeni hana anacho miliki tofaoti na cm na jins
Watu million 60 kuhamia Dar es salaam Hiyo haiwezekani lengo ni kuelezea uhalisia wa jiji la Dar es salaam kwa kulinganisha na sehemu nyingine za Tanzania. Licha ya changomoto zilizopo Dar es salaam still ndio sehemu pekee kwa Tanzania ambayo ni friendly kutimiza nditoMimi bado sija elewa lengo la huu Uzi Ni kwamba una shauri watanzania million 60 wote wahamie dar? Na hizo sehem nyingine tuwaachie wakenya waganda na wasudani walime wafuge alafu watuletee watanzania tulio jirundika dar mazao matunda nyama na maziwa? Ninacho kiona hapa Ni umaskini wa taifa letu kimiundo mbinu. tukiweza kua na treni za kisasa za umeme mtu akaweza kufanya kazi dar na kulala mbeya au mwanza ubishani wa kipumbavu Kama huu hauta kuwepo
Mimi nimeishi na kukulia Dar kwa miaka yote na umri wangu huu. Dar ni sehemu nzuri sana ya kutafutia mtaji Kisha ukajificha mahali huko mkoani ukatengeneza mikakati then unarudi Dar kupiga hela ndefu ukitumia connection ya Dar to mkoa, mkoa to Dar.Sio povu wanasema ukweli wao. Mbona Dar uswahili, ujinga na umasikini ni mkubwa. Watu wengi afya mbovu, lishe duni.
Mimi nimeenda tena ilikuwa kazi ya mwezi tu ila nilishindwa kuvumilia nilikuwa naomba siku zikimbie nirudi za Mwanza the rock cityNever compare daslam with other cities dsm ndo Tanzania yenyewe we mpaka ikulu hadi leo imeshindikana kuhamishwa unachukulia poa!? Nimefanya research watu wengi wanaokuja dsm huwa ni ngumu kurudi mikoa waliotokea.
Mimi nimeenda tena ilikuwa kazi ya mwezi tu ila nilishindwa kuvumilia nilikuwa naomba siku zikimbie nirudi za Mwanza the rock city
Kichwa kigum kama jiwe...endelea na ubishi Ila dar ni eneo zuri zaidi kwa ma hustlerharakati gani zitaje...
hakuna biashara yoyote inayofanyika dar na arusha isiwepo...ndo mana nimesema labda harakati zinazohusu bahari
Dodoma is shining now sisi hatushindani na Dar alietangulia ametangulia tu but slowly we are coming . Hopeful kwa uwekezaji unaondelea few years later this city will be among of the best city in East AfricaUkitaka ona maajabu...
Hadi leo Dodoma ndani ya KM 10 kutoka Kati ya Mji, viwanja bei yake sawa na Chamazi...
Dar huko Bunju hapashikiki na ni zaidi ya KM 35 toka Mjini...
Train ya SGR ikimalizika na nauli iwe fare, watu wengi wataishi Dar na kazi Dodoma, imradi tu Train iwahi fika Dodoma
Kuna watu wataona bora kila Ijumaa waondoke warudi Jtatu asbuhi, na hii itafanya Dodoma ishuke kimapato kwani bata zitaliwa Dsm
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Vp Dodoma?Watu million 60 kuhamia Dar es salaam Hiyo haiwezekani lengo ni kuelezea uhalisia wa jiji la Dar es salaam kwa kulinganisha na sehemu nyingine za Tanzania. Licha ya changomoto zilizopo Dar es salaam still ndio sehemu pekee kwa Tanzania ambayo ni friendly kutimiza ndito
Arusha sio mkoani mzee. Wilaya ya kwanza kupata maendeleo ya kisasa kabla ata ya ilala na kinondoni. Observe.Unaelewa maana ya harakati? Wapi nimetaja fly over au bahari...jikite kwenye point mkuu...sehemu rahisi kutoboa ukiwa na connection sahihi ni DSM...na DSM ndo Tanzania mzee...😀😀😀😀
Serikali ikishamaliza ujenzi wake nini tena kitatokea?Dodoma is shining now sisi hatushindani na Dar alietangulia ametangulia tu but slowly we are coming . Hopeful kwa uwekezaji unaondelea few years later this city will be among of the best city in East Africa