E and E
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 1,126
- 985
Kumbe pamoja na mafoleni, jua kali na majasho lakini bado unarudi kupumzika huko baada ya kazi, hahahahSerikali imeacha familia Dar ndio maana wanarudi sana…
Mkoa gani huo watu wanaenda nyumbani saa 2? Niko mkoani lkn nyumbani naendaga hata saa 10 alfajiri [emoji1787]
Basi tuseme na sisi wengine tuna sababu zinazopelekea Dar tupaone kawaida..
mm binafsi, lile jua linavyowaka + mafoleni mimi kwa kweli Dar nakuja Kupenzika na kusalimia [emoji119]