National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Si ndio maana sikuogopq kumbe una jibuWe una matatizo ya akil, hakuna acegopa chuma hat ambao wako trained wanaianya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ndio maana sikuogopq kumbe una jibuWe una matatizo ya akil, hakuna acegopa chuma hat ambao wako trained wanaianya
[emoji23][emoji23][emoji23] inategemea yawezekana alikuwa huko Gamboshidaa msela katisha,kwahiyo ukiwa mwanza ni kiijijini??
Mkuu hili swala mbona liko wazi mtu yoyote mwenye utashi na macho anaona na kujua kwa hiyo ni maamuzi yake kutokubaliana na anachokiona ambacho ndio uhalisia wenyewe.Haina haja ya kuijadili DSM tulete mifano nikiwa point A nilikuwa hivi na baada ya kuja DSM umepata nini, na kabla ya DSM ulikuwa na vigezo gani vya upambanaji, au vya kupatia pesa ambavyo havikufanya kazi kwingine.
Wenye pesa za kilimo, mbao, madini, mashamba ya miti, na tunaosafiri kwenye cities mfano tu Africa mashariki haina haja ya kuongea sana. Riziki ni Mungu.
Pesa ni majaaliwq ya Mungu katika njia zako, iwe mikono, miguu, macho, mdomo, masikio, na mengine mengi.
Dsm should be credited comparatively and with specific criteria. It starts with oneself. How good and how bad is Dar treating you since when, when you had what of which was the same before being in DSM, and with the same attributes that are with you ukiwa DSM have tested urself mikoa mingine.
Life reflections are based on multiple control parameters.
Opportunity kwangu ziko Mkoani sio Dar na kiukweli Dar ilinishinda.Nani kakudanganya new York ndo kila kitu asikudanganye mtu same kwa china Shanghai ndo mji wa kibiashara
Tunaongelea opportunity we unaongelea mambo ya mpira hivi unaakili timamu kweli, kwakusaidia timu za London ndo zinaongoza kwa kuwa na gharama kubwa za tiketi za kuingia uwanjani lakin point ni opportunity na sio mpira siku nyingine jikite kwenye mada
Unavyosema concentration vip France kila kitu kipo Paris, same kwa Russia kila kitu kipo Moscow ukienda south Korea vitu vingi vipo Seoul na hizo zote ni developed countries
Dar ndio Tanzania mama, sasa kama asilimia zaidi ya 70 ya mapato yote yanatokea hapa unafikili nini, sema hujapata connection sahihi tu.Dar imekuwa overrated kinyama
Sijui labda sababu nimezaliwa na kukulia Dar nimepazoea sana lakini sionagi uspesho wake
Pole sana, huijui Dar vizuri mkuu, karibu tenaFrom my experience, dar inakufaa kama ukiwa na pesa tu.
Kama huna kwako huo mji niwa moto sana.
1: kama huna pesa hakuna mbususu za bure bure kama mikoan. Wanawake wengi wapiga mizinga.
2: vijana wa dar wanatumia kwa wingi vega, viksi kingo maarufu kama, chocolate n.k
3: kwa mtu asiye kua na pesa chakula chake always kitakua wali maharage, ugari dagaa tena wakwa mama ntilie.
4:Hali ya hewa ya dar kama huna pesa ni mateso lile ni tanuru la moto, inafikaga pahara hata feni zina sizi.
3: chakula kama samaki ni ndoto za abnwasi kama huna pesa.
Vijana wa dar wanapendelea kula, wali maharage, ugali mishikaki, chips mayai au chips kavu na soda.
Kwa dar huwezi pata maji ya kunywa yenye radha asilia kama ya kismani.
Na ukiwa umepanga huna kisima ndo basi labda usubiri mvua.
Gharama za maisha hasa nyumba za kuishi zipo juu, hivyo hupelekea vijana wengi kuishi maeneo ya pembeni kama temeke ndani ndani kule kama chamanzi, mbande, buza, tandika, mbagala. Tegeta ndani ndani kule, malamba. Sasa niulize kutoka huko kuja town kariakoo nenda rudi mtu anatumia sh ngap.
[emoji23][emoji23]
DuhUkiondoa maisha ya unga mwana niliyonayo kitu kingine kinachonipa msongo wa mawazo ni kutokuishi Dar es salaam. Nilikuwa nikisikia na kushuhudia watu wameacha kazi kisa tu wamepangiwa vituo vya kazi vya mikoani nilikuwa nawaona kama ni mental case kumbe mimi ndiye nilikuwa sijui what it means to live in city of Dar es salaam. Now I Know licha ya udogo wa geographical area ya Dar es salaam still ndio Mkoa wenye population kubwa compared to other places in Tanzania.
Once my father told me alikuwa akiishi Ubungo Maziwa miaka 1980, ni miongoni mwa stori zinazoniumiza sana mimi na kunifanya nijiulize maswali mengi na kuhitimisha kuwa at some point kila mtu kwenye maisha yake anafanya mistake kama sio mistakes. It's doesn't make any sense miaka ya 80 unahama Dar es salaam unaenda kuishi Namtumbo ambako mpaka leo kuna mapori je miaka ya 80 it's means jirani zetu walikuwa wanyama pori, baba nakupenda sana ila kwa hili you deserve to be blamed.
Hii ni list ya vitu vilivyonifanya nigome kutoka Dar es salaam.
1. Dar es salaam ndio sehemu pekee inayokupa easy access ya kuchase dreams zako jaribu kufanya utafiti mdogo watu wengi waliofanikiwa kwenye nyanja tofauti nchini Tanzania makazi yao ni wapi(tofautisha kati ya asili na makazi).
2. Ile interaction ya kukutana na watu wa aina tofauti inakufanya uchangamke na uwe extra care maanake unajua ukizubaa umepigwa.
3. Naomba hapa nikazie kama wewe ni Mwanaume mtafutaji basi sehemu sahihi ya kuwepo ni Dar es salaam. Why kusuuza rungu ni moja kati ya basic need ya Mwanaume yoyote bila kujali financial status yake(tajiri & masikini) sasa jijini Kila kata Kuna danguro, bajeti ya kuosha rungu inakuwa chini compared to other places In Tanzania.
4. Zamani nilikuwa naamini jijini chakula ni bei ghali kumbe zilikuwa ni propaganda za watu wa binafsi wasio penda watu wa mikoani tuje Dar. Ni wapi Tanzania hii unapata Ugali na mboga drafts kwa shilling za kitanzania 1000 tu believe me hakuna hata kule panapotoka mazao yenyewe. Wigo mpana wa kuchagua ule nini. kuna mikoa kama sio mlaji wa ugali au wali basi jiandae kulala njaa.
5. Kupendeza ni jambo jepesi kuliko kutopendeza Kila sehemu zinauzwa nguo tena latest kwa cheap price. Mimi katika maisha yangu sikuwahi kuwa na nguo begi mbili lakini Dar es salaam mtu ambaye ni Jobless ana mabegi 5 ya nguo.
Mwisho Asante sana shemeji kunifukuza kwako ila just believe me next year nitakuwa huko kuanza maisha yangu Mimi kama BabaMorgan. Tena usije ukashangaa nimepata apartment Posta afu wewe utabaki huko huko kwenye Panyaroad.
ukiona hivyo we sio mjanja, wewe ni lelemama, mjini mipango mkuuMimi life limenipiga hapo dar baada ya kumaliza chuo nimepigiga for 5 consecutive years, ajira hakuna unaambiwa usichague kazi ila izo kazi zenyewe ambazo haupaswi kuchagua hazipo ukijimix kwenye kijiwe cha kuosha magari na wana unatolewa nje, ukisema utafute hata deiwaka tu za saidia fundi napo bila bila kulala njaa ni utaratibu wa kawaida kabisa yaani ule msoto msoto kweli stress, hauna hata hela ya kula, masimango ya watu, kudhalaulika, nilikonda mwili uneisha kabisa hapo hapo unafikiria matarajio waliokua nayo ndugu kwako ukimaliza chuo yaani hata demu aje uchi wa mnyama mashine haidindi ikafika hatua nikawa mpaka naongea peke angu barabarani nikaona sasa naelekea kuwa kichaa ikabidi nije huku kijijini kupata utulivu wa akili kidogo wakati nafikiria my next move sasa hizi shuhuda zinazotelewa hapa ni kama vile ukiwa dar fursa nje nje ndo nabaki kushangaa dar hii hii niliyoikimbia au kuna dar mbili hapa tanzania
sababu zako ni shallow sana....hayo uliyoorodhesha yanapatikana miji mikuu ya mikoa na ya wilaya na hata midogo nchi nzima kwa sasa. una uchungu tu na baba yako kuhama darUkiondoa maisha ya unga mwana niliyonayo kitu kingine kinachonipa msongo wa mawazo ni kutokuishi Dar es salaam. Nilikuwa nikisikia na kushuhudia watu wameacha kazi kisa tu wamepangiwa vituo vya kazi vya mikoani nilikuwa nawaona kama ni mental case kumbe mimi ndiye nilikuwa sijui what it means to live in city of Dar es salaam. Now I Know licha ya udogo wa geographical area ya Dar es salaam still ndio Mkoa wenye population kubwa compared to other places in Tanzania.
Once my father told me alikuwa akiishi Ubungo Maziwa miaka 1980, ni miongoni mwa stori zinazoniumiza sana mimi na kunifanya nijiulize maswali mengi na kuhitimisha kuwa at some point kila mtu kwenye maisha yake anafanya mistake kama sio mistakes. It's doesn't make any sense miaka ya 80 unahama Dar es salaam unaenda kuishi Namtumbo ambako mpaka leo kuna mapori je miaka ya 80 it's means jirani zetu walikuwa wanyama pori, baba nakupenda sana ila kwa hili you deserve to be blamed.
Hii ni list ya vitu vilivyonifanya nigome kutoka Dar es salaam.
1. Dar es salaam ndio sehemu pekee inayokupa easy access ya kuchase dreams zako jaribu kufanya utafiti mdogo watu wengi waliofanikiwa kwenye nyanja tofauti nchini Tanzania makazi yao ni wapi(tofautisha kati ya asili na makazi).
2. Ile interaction ya kukutana na watu wa aina tofauti inakufanya uchangamke na uwe extra care maanake unajua ukizubaa umepigwa.
3. Naomba hapa nikazie kama wewe ni Mwanaume mtafutaji basi sehemu sahihi ya kuwepo ni Dar es salaam. Why kusuuza rungu ni moja kati ya basic need ya Mwanaume yoyote bila kujali financial status yake(tajiri & masikini) sasa jijini Kila kata Kuna danguro, bajeti ya kuosha rungu inakuwa chini compared to other places In Tanzania.
4. Zamani nilikuwa naamini jijini chakula ni bei ghali kumbe zilikuwa ni propaganda za watu wa binafsi wasio penda watu wa mikoani tuje Dar. Ni wapi Tanzania hii unapata Ugali na mboga drafts kwa shilling za kitanzania 1000 tu believe me hakuna hata kule panapotoka mazao yenyewe. Wigo mpana wa kuchagua ule nini. kuna mikoa kama sio mlaji wa ugali au wali basi jiandae kulala njaa.
5. Kupendeza ni jambo jepesi kuliko kutopendeza Kila sehemu zinauzwa nguo tena latest kwa cheap price. Mimi katika maisha yangu sikuwahi kuwa na nguo begi mbili lakini Dar es salaam mtu ambaye ni Jobless ana mabegi 5 ya nguo.
Mwisho Asante sana shemeji kunifukuza kwako ila just believe me next year nitakuwa huko kuanza maisha yangu Mimi kama BabaMorgan. Tena usije ukashangaa nimepata apartment Posta afu wewe utabaki huko huko kwenye Panyaroad.
Sio kweli mkuu twende taratibu tu,sababu zako ni shallow sana....hayo uliyoorodhesha yanapatikana miji mikuu ya mikoa na ya wilaya na hata midogo nchi nzima kwa sasa. una uchungu tu na baba yako kuhama dar
Mizengo Pinda 🤣 🤣 🤣Mstaafu gani yuko mkoani ? Wanasalimia na kurudi Dar
Duh! Mwanza hii hii ninayoijua mimi au mwanza ya magu?2016 nilitoka Dar nikaajiriwa Mwanza...dah..nilikaa mwezi mmoja tu nikaondoka na kurudi mjini....
Eti '..maeneo ya pembeni kama kule Temeke...' natumaini mkuu wewe sio mwenyeji wa Dar, yaani useme Temeke ni pembeni ya jiji? Huwezi kuwa serious labda uwe umejichanganya ulitaka kumaanisha jambo lingine.From my experience, dar inakufaa kama ukiwa na pesa tu.
Kama huna kwako huo mji niwa moto sana.
1: kama huna pesa hakuna mbususu za bure bure kama mikoan. Wanawake wengi wapiga mizinga.
2: vijana wa dar wanatumia kwa wingi vega, viksi kingo maarufu kama, chocolate n.k
3: kwa mtu asiye kua na pesa chakula chake always kitakua wali maharage, ugari dagaa tena wakwa mama ntilie.
4:Hali ya hewa ya dar kama huna pesa ni mateso lile ni tanuru la moto, inafikaga pahara hata feni zina sizi.
3: chakula kama samaki ni ndoto za abnwasi kama huna pesa.
Vijana wa dar wanapendelea kula, wali maharage, ugali mishikaki, chips mayai au chips kavu na soda.
Kwa dar huwezi pata maji ya kunywa yenye radha asilia kama ya kismani.
Na ukiwa umepanga huna kisima ndo basi labda usubiri mvua.
Gharama za maisha hasa nyumba za kuishi zipo juu, hivyo hupelekea vijana wengi kuishi maeneo ya pembeni kama temeke ndani ndani kule kama chamanzi, mbande, buza, tandika, mbagala. Tegeta ndani ndani kule, malamba. Sasa niulize kutoka huko kuja town kariakoo nenda rudi mtu anatumia sh ngap.
[emoji23][emoji23]
Hujaelewa point yangu na sina muda wa kuelewesha vilaza. Baki na ukilaza wako.Kwa hiyo sahivi umeamia kwenye miundonbinu Tena umetengeneza hoja nyingine we ni koboko alafu inaonyesha hujui unachosimamia
Point yako ya kwanza kwanin dar ni dominant ukawa unashangaa nikakukumbusha hata nchi nyingine Kuna miji ambayo ni infrastructure nikakutoea mfano u.k hakuna mji unakaribia London, au ni mji gani ufaransa unakaribia Paris, unaongea vitu usivyovijua
point ya mleta uzi sio mambo ya infrastructure Bali opportunity zilizopo dar ni nyingi tofauti na miji mingine
Mo, Rostam, Bakhressa, Balozi wa Uingereza, Marekani, Ufaransa, Japani, Norway, Denmark, na Viongozi wako wote wa chama na serikali, Wastaafu wote wanaishi, wewe Masikini una sema Dar kuna nuka Kaka tafuta pesa Ukiwa dar sawa upo Paris, wewe unatoka Arusha unafikia Kigogo .Huko ni pa kutafutia pesa sio kuishi
Dsm kunanuka mavi, pachafu sana
We ndo kilaza tunaongelea opportunity we unaleta masuala ya infrastructure wapi na wapiHujaelewa point yangu na sina muda wa kuelewesha vilaza. Baki na ukilaza wako.