KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Chupi au Boksa lako Chafu ulilolivaa hapo limetengenezwa Tanzania? Kuna Watu ni Wapumbavu kweli kweli yaani mnawakataa Wazungu wakati almost 99.9% ya Vitu mnavyovitumia vimetengenezwa na Wao. Ndiyo maana huwa nawadharau kwani baadhi yenu hamna Akili kabisa.sema wamekuzid, wamewazid wew nanani??? kama unajiona mjinga, ni pekeyako aseee tupo wengi tunaojielewa.....
Ili nimuamini Mwafrika hebu niorodheshee angalau hata tu Vitu 10 vya maana ambavyo vimekuwa 'invented' nao.Sijui ni kwanini mtu mweusi anajidharau sana mbele ya mzungu.......wanachoshindwa kujua ni kuwa hata hao wazungu wana mila na tamaduni zao.......kwa kweli uchawi waliotumia wazungu vichwani mwetu ni wa hali ya juu sana......
Yupo sahihi ni Kulogwa....hakuna neno kurogwa.Ni Karogwa na siyo Kalogwa Mkuu sawa?
Wewe acha upumbavu wako wa kishetani hapa. Tena niondolee upumbavu wako wa kichawi hapa!. Mila za kichawi ziheshimu wewe na utakapokufa na matunguri yako ndipo utaelewa Yuko Mungu aliyehai anayepinga uchawi. Kama haya si uchawi, unataka yaitwe utakatifu? Pumbavu wewe shetani usiyekuwa na haya. Pumbavu zako lichawi likubwa!. Naomba uchawi wako huo ukurudie wewe na uwe juu yakichwa chako hadi uombe poo!. Pumbavu tena kaa mbali nami.mpumbv wew sio kila kitu uchawi, mambo mengine ni mila tu, uwe unauliza kabla ujalopoka, hayo mambo yapo hata kwa wasukuma, mtot akizaliwa ufungwa kitu mwikin nasio kwamba uchawi, bali ni iman zao ambazo hata bbu zako walfanya hivyo, kuwa na adabu, heshimu mila za afrika, wachawi ni wale wanaobeba rozali na kuweka misaraba ktk mahekalu na majumba uku wakisema tunajifunika kwa damu ya yesu, hii ni kafara kubwa na yakutisha, unajifunika damu ya mtu??? hata maandiko yao wanayapinga pumbv zenu
Tamaduni na imani za watu zinazoitwa uchawi na ushirikina!. Full stop. Unaremba nini? Na kwa nini wanakuwa wakali wanapoambiwa hizo tamaduni zao ndio neno Uchawi? Hii mijitu ni mipumbavu sana.Tamaduni na imani za watu...
😂😂😂😂😂 Wa etu brainwashed ili tujiona kama tunavojiona hii kazi haijaanza leo ni muda mrefuNi kweli sisi tuko gizani hatuna elimu ndo maana hatuna akili.mfano mtu mnene kafariki ghafla kijijini kumbe alikuwa na pressure ila kijiji kizima wataamini kalogwa na huku hawajampima chochote
Kumtoa mwafrika na kumkomboa kifikra ni shughuli ndugu wacha muda ufike wataamka wenyewe wajitambuempumbv wew sio kila kitu uchawi, mambo mengine ni mila tu, uwe unauliza kabla ujalopoka, hayo mambo yapo hata kwa wasukuma, mtot akizaliwa ufungwa kitu mwikin nasio kwamba uchawi, bali ni iman zao ambazo hata bbu zako walfanya hivyo, kuwa na adabu, heshimu mila za afrika, wachawi ni wale wanaobeba rozali na kuweka misaraba ktk mahekalu na majumba uku wakisema tunajifunika kwa damu ya yesu, hii ni kafara kubwa na yakutisha, unajifunika damu ya mtu??? hata maandiko yao wanayapinga pumbv zenu
Another Fool...!!Yupo sahihi ni Kulogwa....hakuna neno kurogwa.
Kwa kweli ni baadhi ya makabila kwa Tanzania si Waafrika wote au wengiKuna Mama Mmoja nilimkuta Kamvalisha Mwanae na nilipojaribu Kumuelimisha kwa Kumuambia kuwa huo ni 'Upuuzi' na kutaka Kumvua alinitishia kuwa nikithubutu tu nakuwa Chura Maji muda huo huo nikasalimu Amri.
Nashukuru Mungu sikuvalishwa kabisa.
Mama mkwe wako atamvalishaje mwanao mavitambaa meusi bila ridhaa yako? Unamwambia avae yeyeIla vipi mwanao ukifanikiwa kupata mtoto halafu mama mkwe amvalishe utamfanyaje mama mkwe
Nina watoto watatu sikuwahi kuvalisha hata mmoja, kama si kukosa akili unamchoraje Mtoto na miwanja eti unaamini wanja inamkinga dhidi ya watu wenye macho mabaya.Ignorance people, huwezi wabadilisha
Huo ni ushirikina na imani potofu tulizo lishwa na wajinga fulani hapo kale ChiefKuna Mama Mmoja nilimkuta Kamvalisha Mwanae na nilipojaribu Kumuelimisha kwa Kumuambia kuwa huo ni 'Upuuzi' na kutaka Kumvua alinitishia kuwa nikithubutu tu nakuwa Chura Maji muda huo huo nikasalimu Amri.
Nashukuru Mungu sikuvalishwa kabisa.