Hivi vitu wanavyovalishwa Watoto Wachanga wa Kiafrika mikononi, viunoni na miguuni mbona navitafuta kwa wa Kizungu sivioni?

Hivi vitu wanavyovalishwa Watoto Wachanga wa Kiafrika mikononi, viunoni na miguuni mbona navitafuta kwa wa Kizungu sivioni?

Sijui ni kwanini mtu mweusi anajidharau sana mbele ya mzungu.......wanachoshindwa kujua ni kuwa hata hao wazungu wana mila na tamaduni zao.......kwa kweli uchawi waliotumia wazungu vichwani mwetu ni wa hali ya juu sana......
 
sema wamekuzid, wamewazid wew nanani??? kama unajiona mjinga, ni pekeyako aseee tupo wengi tunaojielewa.....
Chupi au Boksa lako Chafu ulilolivaa hapo limetengenezwa Tanzania? Kuna Watu ni Wapumbavu kweli kweli yaani mnawakataa Wazungu wakati almost 99.9% ya Vitu mnavyovitumia vimetengenezwa na Wao. Ndiyo maana huwa nawadharau kwani baadhi yenu hamna Akili kabisa.
 
Sijui ni kwanini mtu mweusi anajidharau sana mbele ya mzungu.......wanachoshindwa kujua ni kuwa hata hao wazungu wana mila na tamaduni zao.......kwa kweli uchawi waliotumia wazungu vichwani mwetu ni wa hali ya juu sana......
Ili nimuamini Mwafrika hebu niorodheshee angalau hata tu Vitu 10 vya maana ambavyo vimekuwa 'invented' nao.

Hiyo 'Electronic Gadget' unayoitumia hapo sasa mpaka Kukuwezesha kuweza Kuingia JF hapa imetengenezwa na Mwafrika?

Wanafiki wakubwa hebu msiniboe hapa.
 
mpumbv wew sio kila kitu uchawi, mambo mengine ni mila tu, uwe unauliza kabla ujalopoka, hayo mambo yapo hata kwa wasukuma, mtot akizaliwa ufungwa kitu mwikin nasio kwamba uchawi, bali ni iman zao ambazo hata bbu zako walfanya hivyo, kuwa na adabu, heshimu mila za afrika, wachawi ni wale wanaobeba rozali na kuweka misaraba ktk mahekalu na majumba uku wakisema tunajifunika kwa damu ya yesu, hii ni kafara kubwa na yakutisha, unajifunika damu ya mtu??? hata maandiko yao wanayapinga pumbv zenu
Wewe acha upumbavu wako wa kishetani hapa. Tena niondolee upumbavu wako wa kichawi hapa!. Mila za kichawi ziheshimu wewe na utakapokufa na matunguri yako ndipo utaelewa Yuko Mungu aliyehai anayepinga uchawi. Kama haya si uchawi, unataka yaitwe utakatifu? Pumbavu wewe shetani usiyekuwa na haya. Pumbavu zako lichawi likubwa!. Naomba uchawi wako huo ukurudie wewe na uwe juu yakichwa chako hadi uombe poo!. Pumbavu tena kaa mbali nami.

Eti "mila za iafrica" Pumbavu pumbavu pumbavu!' Ongea haya mambo na wachawi weanzako. Lichawi kubwa!.
 
Tamaduni na imani za watu...
Tamaduni na imani za watu zinazoitwa uchawi na ushirikina!. Full stop. Unaremba nini? Na kwa nini wanakuwa wakali wanapoambiwa hizo tamaduni zao ndio neno Uchawi? Hii mijitu ni mipumbavu sana.
 
Ni kweli sisi tuko gizani hatuna elimu ndo maana hatuna akili.mfano mtu mnene kafariki ghafla kijijini kumbe alikuwa na pressure ila kijiji kizima wataamini kalogwa na huku hawajampima chochote
😂😂😂😂😂 Wa etu brainwashed ili tujiona kama tunavojiona hii kazi haijaanza leo ni muda mrefu
Mfano wa nzi au ndege kuweka kwenye kopo ili asiruke na badae kifuniko kikatolewa akili ya ndege mpk sasa inaogop kupaa ikizani haiwezi
Ukombozi wa kifikra ndo kitu tunahitaji
 
mpumbv wew sio kila kitu uchawi, mambo mengine ni mila tu, uwe unauliza kabla ujalopoka, hayo mambo yapo hata kwa wasukuma, mtot akizaliwa ufungwa kitu mwikin nasio kwamba uchawi, bali ni iman zao ambazo hata bbu zako walfanya hivyo, kuwa na adabu, heshimu mila za afrika, wachawi ni wale wanaobeba rozali na kuweka misaraba ktk mahekalu na majumba uku wakisema tunajifunika kwa damu ya yesu, hii ni kafara kubwa na yakutisha, unajifunika damu ya mtu??? hata maandiko yao wanayapinga pumbv zenu
Kumtoa mwafrika na kumkomboa kifikra ni shughuli ndugu wacha muda ufike wataamka wenyewe wajitambue

Tamaduni zetu ni kila kitu kwetu back to the nature
 
Chura maji[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna Mama Mmoja nilimkuta Kamvalisha Mwanae na nilipojaribu Kumuelimisha kwa Kumuambia kuwa huo ni 'Upuuzi' na kutaka Kumvua alinitishia kuwa nikithubutu tu nakuwa Chura Maji muda huo huo nikasalimu Amri.

Nashukuru Mungu sikuvalishwa kabisa.
Kwa kweli ni baadhi ya makabila kwa Tanzania si Waafrika wote au wengi
 
Ignorance people, huwezi wabadilisha
Nina watoto watatu sikuwahi kuvalisha hata mmoja, kama si kukosa akili unamchoraje Mtoto na miwanja eti unaamini wanja inamkinga dhidi ya watu wenye macho mabaya.
 
Dah... Zama zimebadilika....kwani mmelazimishwa kuwavesha watoto wenu hayo madude?.....ni hiyari .... Si lazima....na wala hili halihitaji kamati [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
 
Kama hujawahi kupata tatizo ambalo hata vipimo vya kidayansi havitoi majibu ndo utadharau mila.remember mila zipo bfor science
 
Kuna Mama Mmoja nilimkuta Kamvalisha Mwanae na nilipojaribu Kumuelimisha kwa Kumuambia kuwa huo ni 'Upuuzi' na kutaka Kumvua alinitishia kuwa nikithubutu tu nakuwa Chura Maji muda huo huo nikasalimu Amri.

Nashukuru Mungu sikuvalishwa kabisa.
Huo ni ushirikina na imani potofu tulizo lishwa na wajinga fulani hapo kale Chief
 
Back
Top Bottom