Hahaha...naona manengelo unabananishana na huyo karot
Boys boys boys
Kwa hiyo na ww angekurusha hapa eeh!!!Ndo maana niliamua kukupotezeaga pm!utoto sana...!km umeona anazengua si ungempotezea tu[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Huyo jamaa kama ameleta hizo chat huku ipo siku ataleta hadi za kwenu huku navoonaEti mie naona km utoto...umemtongoA mwanamke anakuomba hela akale kwann usi-mute mkuu??kama si kujaza seva ni nn huku...mbona hizi nyimbo zishasikika sana...ww unapoona ngumu kumtumua 5000 akale muda huo.huo na nchi hyo hyo kuna mwanaume ametuma...300k kwa mwanamke...so kila mtu ale kufuatia urefu wa kamba yake...unalalamika vitu vdg sana...wala silumbani naye....!
Tunaomba kweli ila sio kwa style hiyo ya kijingaNashangaa mchatisho wa mtu mmoja tena facebook anatuweka kundi moja wote... Hii mentality kila mwanamke kuishi lazima aombe hela kwa mwanaume huwa siielew..
Hahahahahahahaahhnamfaham.sana huyu dogo..mxiew..bora nilimpotezeaga utoto sana yaan..kukaa zenji anaona boonge ya deal
Wengine hawana hata shida ila anatumia njia hiyo kukufukuza na anajua utakimbia tuNjaa yao iko standby ukianza kuchat tu wanaitangaza halaf hawana aibu. Mi mbona binafs naskia aibu kumweleza nisiyemjua matatzo yangu hawa wanawezaje yaani
Mukiambiwa mna tabia za kiwaki mnaona kama mnaonewa...View attachment 1058532View attachment 1058533View attachment 1058534View attachment 1058535
Huyo jamaa kama ameleta hizo chat huku ipo siku ataleta hadi za kwenu huku navoona
I meant ungemkubalia mchat alikuwa anatafuta akupost like Happy ukamstukia!Anirushe kwa kipi mkuu...tafadhari
Wengine hawana hata shida ila anatumia njia hiyo kukufukuza na anajua utakimbia tu
Sent using Jamii Forums mobile app
I meant ungemkubalia mchat alikuwa anatafuta akupost like Happy ukamstukia!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo nayo nzuri sanaMimi ht sikuombi..sijibu kbs pm zako..naweza jibu baada ya wk..alafu neno 1 tu km upo vzr utajua
Ok, bi dada! Ukawe na usiku mtulivu wenye ulinzi wa Malaika wa mbinguni!!subutuu...mm andika yako tu najua hapa nachat na nan...
Ok, bi dada! Ukawe na usiku mtulivu wenye ulinzi wa Malaika wa mbinguni!!
Sent using Jamii Forums mobile app