Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 649
- 975
- Thread starter
-
- #201
Bila maji umeme itafanya Kazi?Kweli nimeamini hatuna akili aliyekwabia maji ni chanzo cha umeme ni nani??
Chanzo cha umeme ni generator ambapo maji yanatumika kuzungusha turbines(pangaboi) za generator na kuzalisha umeme.
Sasa unaposema maji ndo chanzo cha umeme unathibitisha kweli waafrica hatuna akili.
Upo sahibi kabisa...waafrica ni wajinga sana. Tuna jamba jamba tuu humu duniani.Habari za ijumaa wanajamiiforums?
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?
Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.
Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.
Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
We kima kaa kwa kutulia.Bila maji umeme itafanya Kazi?
Mifumo yetu ya elimu haijitoshelezi kama ya wenzetu imagine form6 PCM anasoma GS ambayo haimpeleki kokote lakini huo muda angeutumia kujifunza computer coding wangegain kitu.Waliishangaza wakiwa ndani ya bara la Africa?
Kwahiyo tunaishi kwa historia?Africa we had everything ukiweka Egypt Africa basi hata Civilization tunaweza kusema ilikuwa ni moja ya sehemu ilipoanzia.., Tukiangalia vitu kama ufuaji vyuma, pottery n.k. hata huku vilikuwepo..., Tukiongelea utajili wa kisasa basi hata one of the wealthiest Men duniani alikuwa Mansa Kankan Mussa (alipita Egypt kwa siku moja na dhahabu za kutosha romour has it uchumi ukashuka kutokana na inflation baada ya kugawa dhahabu... kwahio Africa ni Bara na kulikuwa kuna tamaduni tofauti tofauti....
Ukiongelea miji kulikuwa na miji kama Timbuktu ambayo ilikuwa si haba....
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mwalimu wetu alienda ulaya kisha china,.. aliporudi alituambia ni either sisi au wazungu, mmojawapo sio binadamu kabisa,....
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤩🤣Upo sahibi kabisa...waafrica ni wajinga sana. Tuna jamba jamba tuu humu duniani.
Mara mia ningezaliwa mbwa koko marekani lakini sio mwafrica
UmemalizaKwa waafrika wanadai hatusapotian ni kwel hilo kabisa kwa sabab hata ukimsapot mtu badae anasahau fadhila zako ulzomtendea so bro kila mtu abak kivyake! Tuendelee kugundua pombe za asil tuu inatosha
Imagine lijitu kama hili limatamani kuwa mbwa sasa ataisadia vipi jamii yake zaidi ya kubweka tu.Upo sahibi kabisa...waafrica ni wajinga sana. Tuna jamba jamba tuu humu duniani.
Mara mia ningezaliwa mbwa koko marekani lakini sio mwafrica
Kazi ya maji ni kuzungusha turbines bila maji inawezekana ktumia upepo , ocean tides , geothermal etc.Bila maji umeme itafanya Kazi?
Kwani uvumbuzi unahisiana vipi na viongozi.Baada ya hapo nini tena ? Life sio Destination ni Journey and Empires Rise and Fall hiki ni kipindi cha Mpito huenda viongozi waroho wa madaraka wakibanwa na watu ambao watakuwa emancipated from mental slavery na kujiona kwamba wamelaaniwa na hawana akili basi tutamove on right direction.... Kutokana na marginalization ku move mmoja mmoja ni kazi sana (kwahio inabidi umimi upungue) as Clans can not Defeat Empires...
By the way we Hata Roman Empire, Great Britain now USA all of them soon or later fall and if push comes to shove Africa as a Continent we are self sustainable.. And we have done it before by building empires and cities just take your History Book and refresh your mind...
Ndio sina la kuwasaidia kwa kweli...bora tuu mniache nijifie zangu na mbususuImagine lijitu kama hili limatamani kuwa mbwa sasa ataisadia vipi jamii yake zaidi ya kubweka tu.
Aaah wapi hujanishawishi.Kuna kua Mweusi alafu uzaliwe Ulaya , Marekan.
Na kuna kua Mweusi alafu uzaliwe hapahapa Afrika..nadhan hapa ndipo tatizo lilipo ,mazingira ya mtoto mweusi anayezaliwa Hapahapa Afrika, mpaka anakua mkubwa, hayamfanyi awe mgunduzi , na ikitokea amekua, Utapigwa vita sana.
Hata wazungu, wahamie Afrika, mazingira yabaki kua yaleyale ya Afrika, WATAKUA VILAZA KWELIKWELI.
Africa had..... Tulikuwa ...... Zilikuwepo...... KulikuwaAfrica we had everything ukiweka Egypt Africa basi hata Civilization tunaweza kusema ilikuwa ni moja ya sehemu ilipoanzia.., Tukiangalia vitu kama ufuaji vyuma, pottery n.k. hata huku vilikuwepo..., Tukiongelea utajili wa kisasa basi hata one of the wealthiest Men duniani alikuwa Mansa Kankan Mussa (alipita Egypt kwa siku moja na dhahabu za kutosha romour has it uchumi ukashuka kutokana na inflation baada ya kugawa dhahabu... kwahio Africa ni Bara na kulikuwa kuna tamaduni tofauti tofauti....
Ukiongelea miji kulikuwa na miji kama Timbuktu ambayo ilikuwa si haba....
Hivi unadhani ukija na idea ya kueleweka hautosapotiwa?Hii dunia ya leo unagundua nini kipya au unakatazwa ku implement nini kilichogunduliwa na mwenzako ? Na lazima ujue research and developments needs funding na kuwekeza kwenye vyuo as well as mentality which is inquisitive (and am sorry to say such minds ambazo zilipatikana katika age of Enlightenment hazipo tena sasa hivi watu ni kusema fulani alisema hivi na sio kujitahidi kwamba fulani alisema vile ngopa ni prove wrong kwamba alikosea... Na hii sio Africa tu bali dunia kwa Ujumla
Sawa Engineer.Kazi ya maji ni kuzungusha turbines bila maji inawezekana ktumia upepo , ocean tides , geothermal etc.
Kuna mtz alianzisha mradi wake unaitwa sarafu ya maji lakini sijaona dawasa wakimfuata huyo jamaa kukuza mradi wake.Kwani uvumbuzi unahisiana vipi na viongozi.
We ukija na research yako nzuri na yenye akili hautosapotiwa?
Lakini aliyegundua upepo au maji ndiyo hutumika.Kazi ya maji ni kuzungusha turbines bila maji inawezekana ktumia upepo , ocean tides , geothermal etc.
Asante.Kuna mtz alianzisha mradi wake unaitwa sarafu ya maji lakini sijaona dawasa wakimfuata huyo jamaa kukuza mradi wake.
View: https://youtu.be/3E26SQ-1V4Y?si=PxozCh6yJN6CH3x5Kwahiyo serikali inahusika katika kukuza vumbuzi tunazofanya.