Hivi Waafrika hatuna akili?

Hivi Waafrika hatuna akili?

Kweli nimeamini hatuna akili aliyekwabia maji ni chanzo cha umeme ni nani??

Chanzo cha umeme ni generator ambapo maji yanatumika kuzungusha turbines(pangaboi) za generator na kuzalisha umeme.

Sasa unaposema maji ndo chanzo cha umeme unathibitisha kweli waafrica hatuna akili.
Bila maji umeme itafanya Kazi?
 
Habari za ijumaa wanajamiiforums?

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?

Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.

Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.

Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
Upo sahibi kabisa...waafrica ni wajinga sana. Tuna jamba jamba tuu humu duniani.
Mara mia ningezaliwa mbwa koko marekani lakini sio mwafrica
 
Africa we had everything ukiweka Egypt Africa basi hata Civilization tunaweza kusema ilikuwa ni moja ya sehemu ilipoanzia.., Tukiangalia vitu kama ufuaji vyuma, pottery n.k. hata huku vilikuwepo..., Tukiongelea utajili wa kisasa basi hata one of the wealthiest Men duniani alikuwa Mansa Kankan Mussa (alipita Egypt kwa siku moja na dhahabu za kutosha romour has it uchumi ukashuka kutokana na inflation baada ya kugawa dhahabu... kwahio Africa ni Bara na kulikuwa kuna tamaduni tofauti tofauti....

Ukiongelea miji kulikuwa na miji kama Timbuktu ambayo ilikuwa si haba....
Kwahiyo tunaishi kwa historia?
 
Upo sahibi kabisa...waafrica ni wajinga sana. Tuna jamba jamba tuu humu duniani.
Mara mia ningezaliwa mbwa koko marekani lakini sio mwafrica
Imagine lijitu kama hili limatamani kuwa mbwa sasa ataisadia vipi jamii yake zaidi ya kubweka tu.
 
Baada ya hapo nini tena ? Life sio Destination ni Journey and Empires Rise and Fall hiki ni kipindi cha Mpito huenda viongozi waroho wa madaraka wakibanwa na watu ambao watakuwa emancipated from mental slavery na kujiona kwamba wamelaaniwa na hawana akili basi tutamove on right direction.... Kutokana na marginalization ku move mmoja mmoja ni kazi sana (kwahio inabidi umimi upungue) as Clans can not Defeat Empires...

By the way we Hata Roman Empire, Great Britain now USA all of them soon or later fall and if push comes to shove Africa as a Continent we are self sustainable.. And we have done it before by building empires and cities just take your History Book and refresh your mind...
Kwani uvumbuzi unahisiana vipi na viongozi.

We ukija na research yako nzuri na yenye akili hautosapotiwa?
 
Kuna kua Mweusi alafu uzaliwe Ulaya , Marekan.

Na kuna kua Mweusi alafu uzaliwe hapahapa Afrika..nadhan hapa ndipo tatizo lilipo ,mazingira ya mtoto mweusi anayezaliwa Hapahapa Afrika, mpaka anakua mkubwa, hayamfanyi awe mgunduzi , na ikitokea amekua, Utapigwa vita sana.

Hata wazungu, wahamie Afrika, mazingira yabaki kua yaleyale ya Afrika, WATAKUA VILAZA KWELIKWELI.
Aaah wapi hujanishawishi.
 
Africa we had everything ukiweka Egypt Africa basi hata Civilization tunaweza kusema ilikuwa ni moja ya sehemu ilipoanzia.., Tukiangalia vitu kama ufuaji vyuma, pottery n.k. hata huku vilikuwepo..., Tukiongelea utajili wa kisasa basi hata one of the wealthiest Men duniani alikuwa Mansa Kankan Mussa (alipita Egypt kwa siku moja na dhahabu za kutosha romour has it uchumi ukashuka kutokana na inflation baada ya kugawa dhahabu... kwahio Africa ni Bara na kulikuwa kuna tamaduni tofauti tofauti....

Ukiongelea miji kulikuwa na miji kama Timbuktu ambayo ilikuwa si haba....
Africa had..... Tulikuwa ...... Zilikuwepo...... Kulikuwa
 
Hii dunia ya leo unagundua nini kipya au unakatazwa ku implement nini kilichogunduliwa na mwenzako ? Na lazima ujue research and developments needs funding na kuwekeza kwenye vyuo as well as mentality which is inquisitive (and am sorry to say such minds ambazo zilipatikana katika age of Enlightenment hazipo tena sasa hivi watu ni kusema fulani alisema hivi na sio kujitahidi kwamba fulani alisema vile ngopa ni prove wrong kwamba alikosea... Na hii sio Africa tu bali dunia kwa Ujumla
Hivi unadhani ukija na idea ya kueleweka hautosapotiwa?
 
Back
Top Bottom