Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 649
- 975
- Thread starter
- #201
Bila maji umeme itafanya Kazi?Kweli nimeamini hatuna akili aliyekwabia maji ni chanzo cha umeme ni nani??
Chanzo cha umeme ni generator ambapo maji yanatumika kuzungusha turbines(pangaboi) za generator na kuzalisha umeme.
Sasa unaposema maji ndo chanzo cha umeme unathibitisha kweli waafrica hatuna akili.