Hivi Waafrika hatuna akili?

Hilo halituhisu,Hilo ni lako pambana nalo mkuu
 
Teknolojia ya kufua chuma iligunduliwa na nani?
 
Nadhani shida inayoisumbua Afrika ni viongozi wake. China wanaviongozi wenye msimamo sana kama Xi Jinping na Mao the dong ila viongozi wa afrika ni wapigaji na wasiokuwa na msimamo. Ndo maana wachina wameendelea kuliko sisi.
Kwamba akili ya mwafrika ni sawa na akili ya mchina?
C'mon dude.😃😃😃😁
 
Ni ujinga kudhani kuwa mtu anaweza kurogwa!
 
Tuna magenius kweli!!!

Wako wapi?
 
Ni ujinga kudhani kuwa mtu anaweza kurogwa!
Hii ya kurogwa ipo Mkuu.
Kuna ndugu yangu aliwahi kutupiwa kifafa Ila baada ya mtaalamu kufanya yake mambo yalienda sawa.

Mpaka sasa bado nawaza Ni technique gani ilitumika. (Around 2010).🤔
 
Hata papuchi za kizazi hiki Nazo ziko hovyo na mboo ziko bila uwajibikaji unaotakiwa,kwa kifupi tuna hali mbaya sana watu waeusi,inakuwaje papuchi itoe harufu ya panya aliekufa,Mimi sielewi.
Watu kama nyie mnafanya wengine tuonekane hatuna akili kwenye mada za maana mnaleta masuala ya ngono. Sasa papuchi inahusikaje hapa?
 
Hata papuchi za kizazi hiki Nazo ziko hovyo na mboo ziko bila uwajibikaji unaotakiwa,kwa kifupi tuna hali mbaya sana watu waeusi,inakuwaje papuchi itoe harufu ya panya aliekufa,Mimi sielewi.
Oya jamaa🤣🤣🤣🤣
 
Watu kama nyie mnafanya wengine tuonekane hatuna akili kwenye mada za maana mnaleta masuala ya ngono. Sasa papuchi inahusikaje hapa?
Ana uhuru wa kukomenti Mkuu.

Wacha tufurahi tukiwa hai. Hata hivyo leo ni WEEKEND imeanza😃😃😃
 
Tuache vizingizio Mkuu.
 
Duuuh!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…