Hivi Waafrika hatuna akili?

😂🤣😂🤣👇🏿👇🏿👇🏿
Your browser is not able to display this video.
 
Ukitaka kuondoa ujinga kitu cha kwanza
1. Futa kazi wote wanaosimamia elimu nchi hii.

2. Andaa kamati ya kubaini watu wenye akili ( sio wenye vyeti) bali watu waliojaribu kuleta tofauti kwenye ubunifu mfano Kipanya na wengine wengi,kisha wape jukumu la kufikiri na kutoa mapendekezo yatakayofaa kwenye elimu.
Kamati inaapishwa,ikichakachua ikatuletea maprofesa wa hovyo waliopo,wanakula shaba wote.

3. Unafuta kabisa mfumo wa elimu uliopo.Mtu anaanza kujifunza kutengeneza simu,magari na vitu mbali mbali akiwa darasa la tatu.Anaanza kujifunza udaktari tangu darasa la tatu.Sio unampotezea muda mtoto anajifunza sungura mjanja au vishazi na ngeli!Upuuzi mtupu!

4. Mtu akitamba ana hela atuoneshe kitu alichokibuni cha uzalishaji chenye faida kwa jamii.Kama hakuna anafilisiwa na kufungwa jela ya kilimo na kazi ngumu.Hakuna pesa ya ujanja ujanja.Ama

5. Watu wote wanaodanga watulie kama hawapo wakionekana wanatamba mtandaoni sijui wanataka kuwa na wanaume wenye gari namba E tena gari ya maana,wakabidhiwe ekari kumi kila mmoja walime na kuzitunza ama wale shaba wote hatutaki watu wanafanya wanaume wanafanya lolote kupata pesa ikiwepo kutoa kafara.

6. Machawa wote peleka jela ya kilimo.Lazima kazi iheshimiwe sio mtu anapata pesa kirahisi rahisi tu.
 
Wewe sasa ndio unaonekana taahira, kwahiyo wakati wazungu wanarudi Afrika kutawala , hapakuwa na Chuma? Kwamba walikuta tunatumia zana za mawe?
Chuma kilikuwepo, mlikua mnakitumia kutengenezea mapanga na mikuki
 
😂😂😂
 
uzuri hao sio waafrica (ni wazungu wenye asili ya africa)....inshort black born in Africa almost wote ni wasindikizaji....hatuna akili
 
uzuri hao sio waafrica (ni wazungu wenye asili ya africa)....inshort black born in Africa almost wote ni wasindikizaji....hatuna akili
Hao watu ni waafrika waliozaliwa ughaibuni, mazingira waliyokulia ndo yamefanya wafanye makubwa pengine hata wewe ungezaliwa ughaibuni ungefanya uvumbuzi wako. Akili tunazo ila mazingira yaliyotizunguka ndo yanaturudisha nyuma mfumo wa elimu pia unachangia.
 
Kwahiyi malaika ndio waligundua uhunzi wa vyuma kisha wakawashushia huo ugunduzi waAfrika , sio? Maana tunaambiwa hawana akili..
Sasa ndugu yangu unataka kuangalia kigezo cha akili kwa mtu kuyeyusha mawe na kupata chuma?
Hicho chuma walivyokipata walifanyia nini? Walitumia kama misumari kuezekea nyumba za tembe?
 
Sasa ndugu yangu unataka kuangalia kigezo cha akili kwa mtu kuyeyusha mawe na kupata chuma?
Hicho chuma walivyokipata walifanyia nini? Walitumia kama misumari kuezekea nyumba za tembe?
Chuma ilikuwa ni mwanzo wa mapinduzi ya kilimo na kijeshi, kwa wakati hio ilkiws ni very big deal. Mtu asiye na akili anaginfuaje iton smelting?
 
Chuma ilikuwa ni mwanzo wa mapinduzi ya kilimo na kijeshi, kwa wakati hio ilkiws ni very big deal. Mtu asiye na akili anaginfuaje iton smelting?
Haya sasa, baada ya kupata hicho chuma kuna maajabu gani mengine tumefanya mpaka leo?
 
Haya sasa, baada ya kupata hicho chuma kuna maajabu gani mengine tumefanya mpaka leo?
Tumejenga maPyramid, au sio maajabu hayo? Na usidanganywe na movie ukadhani mapharaoh walikuwa wazungu…, walikuwa weusi wenye asili inayofanana na watu wa Sudan, hakuna mzungu wala mwarabu anaitwa Tutankamun..
 
Wazungu walivyokuwa wagunduzi walisapotiwa na nani??
 
Inafikirisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…