Hivi Waafrika hatuna akili?

Kwani wewe ulikuwa hujui?
Mambo 3 ya Muafirika
1-TEMBO / ULEVI
2-MZIKI
3-MWANAMKE
akishalewa antaka kucheza mziki akimaliza kucheza mziki anataka mwanamke.
 
Mimi naamini akili tunazo lakini hakuna kusupportiana huku Africa. Mfano huku Tz kuna maengineer lakini mpaka leo barabara zetu wanajenga wachina.
Kutoka kusapotiana ndio kukosa akili kwenyewe
 
Kutoka kusapotiana ndio kukosa akili kwenyewe
Kutosapotiana ni ubinafsi na si kukosa akili kama haumsupport mwenzako basi umeielekeza akili yako kwenye ubinafsi na sio kwenye maendeleo.
Kila mtu anaakili inategemea akili yake kaielekeza wapi.
 
#Bigot
 
#bigot
#splc
 
Mambo ya ovyo ovyo yanayofanywa na Waafrika inadhihirisha akili imehama.
 
Hapoooo...!tunaamini shortcut....

Nani akuroge ndugu...Imani za kishirikina zinazaa hofu...mtu mwenye hofu hawezi kufikiri sawasawa zaidi anakuwa na hitaji moja tuu la uhakikisho wa usalama wake ...hawezi kubuni kitu kikubwa

Ndio maana bado tunajazana hofu kwa manabii na wachungaji kuwa tumelaaniwa...ukiamini umelaaniwa hutafanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…