Chambusiso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 2,592
- 4,640
Tunakuwaga na akili sana ya kujifariji, sasa kuibiwa maujuzi yetu si ndio ujinga mwingine, so tupoibiwa hayo ya mwanzo vizazi vyo vilivyofuata vikawa tabura rasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe ulikuwa hujui?Habari za ijumaa wanajamiiforums?
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?
Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.
Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.
Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
daah we umenikumbusha mbali sanaKwani wewe ulikuwa hujui?
Mambo 3 ya Muafirika
1-TEMBO / ULEVI
2-MZIKI
3-MWANAMKE
akishalewa antaka kucheza mziki akimaliza kucheza mziki anataka mwanamke.
Tunakuwaga na akili sana ya kujifariji, sasa kuibiwa maujuzi yetu si ndio ujinga mwingine, so tupoibiwa hayo ya mwanzo vizazi vyo vilivyofuata vikawa tabura rasa?
Kutoka kusapotiana ndio kukosa akili kwenyeweMimi naamini akili tunazo lakini hakuna kusupportiana huku Africa. Mfano huku Tz kuna maengineer lakini mpaka leo barabara zetu wanajenga wachina.
Kutosapotiana ni ubinafsi na si kukosa akili kama haumsupport mwenzako basi umeielekeza akili yako kwenye ubinafsi na sio kwenye maendeleo.Kutoka kusapotiana ndio kukosa akili kwenyewe
Tunakuwaga na akili sana ya kujifariji, sasa kuibiwa maujuzi yetu si ndio ujinga mwingine, so tupoibiwa hayo ya mwanzo vizazi vyo vilivyofuata vikawa tabura rasa?
unapoteza muda kiongozi. ukishaona mtu yoyote yule idol wake ni magu aisee kaa mbali sana. hao wanakuwaga kama wamekatwa vichwa.
Ugunduzi wa mtu mweusi unajulikana dunia nzima na orodha ipo. Lakini hao sio waafrika. Ni ama wamekulia Uingereza, Ufaransa ama Marekani. Ndani ya Africa yetu hakuna ugunduzi wa maana. Sababu zipo. Watu wenye, moyo, akili, uzalendo na utashi inawauma kuona waafrika weusi tuko hivi.

Si inaonyesha hatuna akili kama mleta mada alivyosema..Haahaa, so what ?
#BigotHabari za ijumaa wanajamiiforums?
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?
Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.
Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.
Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
#bigotWazungu wenyewe hawapendi sisi tuwe wagunduzi na hii yote nikutokana na kutokuwa na imani na mtu mweusi
Hivi unadhani tukiwa wagunduzi wazungu watatusapoti ikiwa sisi kwa sisi hatusapotiani.
Acha tuwe hivihivi kama manyumbu, uchawi kwa sana
Yaani mtu nweusi hususani Tz akiona mtoto wajilani anafanya vizuri darasani anamroga, sasa huo ugunduzi utatoka wapi
Kama tumeshindwa tu kulinda rasilimali za bure alizotupatia MUNGU huo ugunduzi tutautoa wapi. North Korea walipewa vikwazo nchi ikawa kama imefungiwa kila kitu, lakini wametengeneza mpaka nuklia, silaha nk. Na tusiseme mwafrika tuseme sisi watu weusi.
Mambo ya ovyo ovyo yanayofanywa na Waafrika inadhihirisha akili imehama.Habari za ijumaa wanajamiiforums?
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?
Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.
Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.
Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
Ugunduzi wa mtu mweusi unajulikana dunia nzima na orodha ipo. Lakini hao sio waafrika. Ni ama wamekulia Uingereza, Ufaransa ama Marekani. Ndani ya Africa yetu hakuna ugunduzi wa maana. Sababu zipo. Watu wenye, moyo, akili, uzalendo na utashi inawauma kuona waafrika weusi tuko hivi.
Hapoooo...!tunaamini shortcut....Wazungu wenyewe hawapendi sisi tuwe wagunduzi na hii yote nikutokana na kutokuwa na imani na mtu mweusi