Dede 01
JF-Expert Member
- May 12, 2024
- 1,182
- 2,248
Sio tu Egypt hata Ethiopia walifanya maajabu mengi enzi hizo ikiwemo kujenga mahekalu chini ya ardhi.Aisee kweli rudia kusoma Historia ya China hata kabla ya Ukoloni..., China ilikuwa imepiga hatua kubwa as a Civilisation hata kabla ya hao waliokuja na kuwachanganya wengine kwa lazima kulazimisha biashara ya Opium... kwa ufupi tu ngoja nikuonyeshe inventions za China ambazo western walizichukua credit.... (Watu China mnaiangalia kwa wasiwasi sana);
Na vitu kama Biogas au Aquaculture huko imekuwa ikitumika tangia kitambo... Na pia nimekwambia as Egypt being in Africa unajua ni mambo mangapi yaligunduliwa Egypt ?
- Paper making
- Printing Press
- Gun Powder
- Umbrella
- Silk
- Acupuncture
- Porcelain
- Earthquake detector
Huwa nawazaga tu Tz tulikuwa tunafanya nn enzi hizo au ndo masuala ya long distance trade.