Hivi Waafrika hatuna akili?

Hivi Waafrika hatuna akili?

Aisee kweli rudia kusoma Historia ya China hata kabla ya Ukoloni..., China ilikuwa imepiga hatua kubwa as a Civilisation hata kabla ya hao waliokuja na kuwachanganya wengine kwa lazima kulazimisha biashara ya Opium... kwa ufupi tu ngoja nikuonyeshe inventions za China ambazo western walizichukua credit.... (Watu China mnaiangalia kwa wasiwasi sana);
  • Paper making
  • Printing Press
  • Gun Powder
  • Umbrella
  • Silk
  • Acupuncture
  • Porcelain
  • Earthquake detector
Na vitu kama Biogas au Aquaculture huko imekuwa ikitumika tangia kitambo... Na pia nimekwambia as Egypt being in Africa unajua ni mambo mangapi yaligunduliwa Egypt ?
Sio tu Egypt hata Ethiopia walifanya maajabu mengi enzi hizo ikiwemo kujenga mahekalu chini ya ardhi.
Huwa nawazaga tu Tz tulikuwa tunafanya nn enzi hizo au ndo masuala ya long distance trade.
 
Yote hayo uliyo andika kuhusu China nayafahamu vyema tu.

Kama unakili kuwa China walikuwa vizuri kale nayo Egypt ilikuwa vizuri sasa swali langu linabaki pale pale leo hii China ipo wapi na waafrika mpo wapi ?
 
Sasa hivi wapo wapi ?
 
Yote hayo uliyo andika kuhusu China nayafahamu vyema tu.

Kama unakili kuwa China walikuwa vizuri kale nayo Egypt ilikuwa vizuri sasa swali langu linabaki pale pale leo hii China ipo wapi na waafrika mpo wapi ?
Nadhani shida inayoisumbua Afrika ni viongozi wake. China wanaviongozi wenye msimamo sana kama Xi Jinping na Mao the dong ila viongozi wa afrika ni wapigaji na wasiokuwa na msimamo. Ndo maana wachina wameendelea kuliko sisi.
 
Sio tu Egypt hata Ethiopia walifanya maajabu mengi enzi hizo ikiwemo kujenga mahekalu chini ya ardhi.
Huwa nawazaga tu Tz tulikuwa tunafanya nn enzi hizo au ndo masuala ya long distance trade.
Kuna sehemu kuna mabaki ya kufua vyuma, kuna pottery tofauti tofauti kuna misonge nyumba, kuna wagogo na nyumba zao za kuweza kutumika pia kuanika vitu kutokana na mazingira yao ya ukame (kuna Tabora na uhifadhi wao wa mboga kutokana na ukame) Necessity is the mother of all Invention..., Sasa kama wewe mtungi unao na maji yanakuwa poa tu (kwanini uweze kutengeneza fridge)? Na kama ukitoka nje tu unapata Natural Air Condition kwanini uhangaike na Artificial One...

Kwahio hata Egpty kugundua irrigation kulikuwa hakuna jinsi they had to do that or perish.... Au kwanini mtu aliyepo huko Dodoma agundue mtumbwi badala ya mtumbwi kugunduliwa na mtu wa Kanda ya Ziwa ?
 
Ndiyo mwafrika akishatatua changamoto yake basi ameshatosheka. Mfano mpemba akishatengeneza mtumbwi wake basi kashatosheka ila mzungu anaenda mbali na kujiuliza "kwann mtumbwi unaelea?" matokeo yake anavumbua meli kubwa,nyambizi na maboya mwafrika kazi yake ni kununua tu.
 
Habari za ijumaa wanajamiiforums?

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?

Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.

Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.

Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
Tatizo lako na waafrika wanaofikiria kama wewe ni kuwa hampendi basic reading and research , ndio maana hamjui vumbuzi za weusi wenzetu.

Medicine , science , mathematics zote zilianzia hapa afrika .
Hyo touch ya simu unatumia , haingekuwa possible bila mtu mweusi kama wewe nenda karesearch ujijulie.

The first space mission ya marekani kulikuwa cha kushangaza four women wote weusi ndio walipiga hesabu iliyowezesha mengi , hapa kwa kuwa utadispute nenda kasome about hidden figures, nahisi mpaka kuna movie waliitoa on those women.

Fanya research mkuu , wacha kupuyunga humu ukitukana watu
 
Elimu yetu Soo rafiki,kwa mstakabari wa tekinolojia.
Ila akili tunazo sana tena maginius.
Sema mfumo wa elimu,tuna mfumo ambao unafundisha jinsi ya kitumia na kurekebisha na sio ugunduzi.

Elimu mzigo,kianzia chekechea mtoto anakiwa hajui anatakiwa asomee nn hasa.
 
Yote hayo uliyo andika kuhusu China nayafahamu vyema tu.

Kama unakili kuwa China walikuwa vizuri kale nayo Egypt ilikuwa vizuri sasa swali langu linabaki pale pale leo hii China ipo wapi na waafrika mpo wapi ?
Hizo ni Happenstance naweza kusema Great Britain ilikuwa juu, Industrial Revolution ilishika kasi huko (sasa hivi wapo wapi)? Na kama unashindwa kuona impact ya Colonialism katika Africa (na hadi vichwani mwetu mental slavery) na ndugu zetu waliopelekwa nje mababu zao kuwa watumwa hence being fed mentality kwamba wao ni inferior na sub par basi nadhani unaangalia mambo nusu nusu...

Nikigawa Zama katika Historia Katika Zama za Kale, Kati na Mawe je unadhani wakati wengine wapo wanachonga mawe au wengine huko wamegundua moto na kuanza kupika au kufua Chuma, Africa tulikuwa bado Zama za Kale tunasubiri kutawaliwa ? After all Historia inatwambia sisi ni moja kati ya Chanzo chaVizazi hapo Olduvai Gorge..... Ila ndio hivyo wajanja wameona fursa na badala ya kuita watalii huku kuona chanzo chao sisi kila siku tunahangaika kwenye Hijja sehemu za watu wengine (Mentality)

Hiyo elimu ya engineering imetoka wapi? Yaani wewe uwe unajambo lako utamchagua mkaririji ama aliyetunga mtihani?
You should build on the shoulders of the giant..Kwan unataka tuanze kufanya vumbuzi ya scientific laws na formulae ambazo Tyr zipo itakuwa ni kupoteza muda...inabidi tufikirie mbali zaidi...namna ya kutatua changomoto zetu katika jamii yetu ya Kiafrika badala ya kuannza kufikiria atom Ina composition Gani au kurusha rocket kwenye space...we should deal with our local problems kwanza kwenye context yetu ya kiafrika...
 
Hizo ni Happenstance naweza kusema Great Britain ilikuwa juu, Industrial Revolution ilishika kasi huko (sasa hivi wapo wapi)? Na kama unashindwa kuona impact ya Colonialism katika Africa (na hadi vichwani mwetu mental slavery) na ndugu zetu waliopelekwa nje mababu zao kuwa watumwa hence being fed mentality kwamba wao ni inferior na sub par basi nadhani unaangalia mambo nusu nusu...

Nikigawa Zama katika Historia Katika Zama za Kale, Kati na Mawe je unadhani wakati wengine wapo wanachonga mawe au wengine huko wamegundua moto na kuanza kupika au kufua Chuma, Africa tulikuwa bado Zama za Kale tunasubiri kutawaliwa ? After all Historia inatwambia sisi ni moja kati ya Chanzo chaVizazi hapo Olduvai Gorge..... Ila ndio hivyo wajanja wameona fursa na badala ya kuita watalii huku kuona chanzo chao sisi kila siku tunahangaika kwenye Hijja sehemu za watu wengine (Mentality)

Mzee unaandika upuuzi na unatetea ujinga.

Hakuna hata ulichojibu kwa nilichokuuliza excuses za kijinga tu unaleta hapa.
 
Tumeumbwa tofauti kaka, wezetu akili zao zipo kichwani ila sisi akili zetu zipo chini. Kila tukijaribu kuwaza mambo ya msingi tunajikuta huku chin kunasimama na kwa upande wanawake kunawasha.
Ila siku akili zetu zikihamia kichwani basi tutafanya mautundu mengi sana
Teh
 
Nadhani shida inayoisumbua Afrika ni viongozi wake. China wanaviongozi wenye msimamo sana kama Xi Jinping na Mao the dong ila viongozi wa afrika ni wapigaji na wasiokuwa na msimamo. Ndo maana wachina wameendelea kuliko sisi.
Viongozi wanatoka kwenye jamii.
Ukiona jamii inaviongozi walionyooka basi tambua kuwa hivyo ndivyo ilivyo jamii hiyo kwa kiasi kikubwa ukiona jamii ina viongozi wapuuzi wapuuzi na hivyo ndivyo ilivyo jamii nzima kwa kiasi kikubwa.

Afrika wamejaa watu wajinga wajinga wenye low IQ uthibitisho hata humu na mada zilizojaa humu za kipuuzi puuzi tu.
 
Mzee unaandika upuuzi na unatetea ujinga.
Umeuliza nini na kama unauliza unapewa Jibu unaona la Kijinga basi tafuta jibu lako mwenyewe...
Hakuna hata ulichojibu kwa nilichokuuliza excuses za kijinga tu unaleta hapa.
Kama unaona akili zipo kwenye ngozi na sio kuchangiwa na culture / utamaduni na utamaduni ni mambo mnayofanya kama jamii (na hauoni kwamba kuna connection ya kilichotokea jana na kinachofanyika leo) basi nadhani hata ninavyoongea ni level nyingine kabisa kwako inabidi nianzie kwenye basics...

Nadhani wewe you belong on dark ages na wale wenye fikra za Eugenics wangekufaa sana na wala usingelazimishwa tu bali mwenyewe ungeamua kwenda kuishi na mifugo... Kweli Emancipation from Mental Slavery inatakiwa kwa Kasi ya Ajabu...
 
Umeuliza nini na kama unauliza unapewa Jibu unaona la Kijinga basi tafuta jibu lako mwenyewe...

Kama unaona akili zipo kwenye ngozi na sio kuchangiwa na culture / utamaduni na utamaduni ni mambo mnayofanya kama jamii (na hauoni kwamba kuna connection ya kilichotokea jana na kinachofanyika leo) basi nadhani hata ninavyoongea ni level nyingine kabisa kwako inabidi nianzie kwenye basics...

Nadhani wewe you belong on dark ages na wale wenye fikra za Eugenics wangekufaa sana na wala usingelazimishwa tu bali mwenyewe ungeamua kwenda kuishi na mifugo... Kweli Emancipation from Mental Slavery inatakiwa kwa Kasi ya Ajabu...
Hayo mambo ya ngozi nani kayazungumzia hapa ?

Unandika ujinga sijui hata kama unasoma unavyoa andika.
 
Mgunduzi wa Muda ni mtu. Mweusi
Mgunduzi wa kuandika na kusoma ni mtu mweusi tika Misri huko
 
Back
Top Bottom