mwekwa ntandu
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,526
- 3,756
USA 1 na Belgium 2,game Iko onGemu ngapi ngapi hadi sasa?
Imebidi nije niangalie hapaUSA 1 na Belgium 2,game Iko on
Wenzetu mbele wamewekeza kwenye branding, matangazo vdo yanawalipa sanaNa Mimi nasubiri waje watueleze vizuri. Mimi nachoshangaa ni kitu kimoja tu na nahitaji ufafanuzi mzuri kutoka kwa wataalamu wa maswala ya burdani. Ukiangalia wasanii kwenye nchi kama South Africa, Nigeria na mbele huko kama USA ni matajiri sana na wana vipato vizuri na ni ngumu kujua nani msanii njaa na nani matawi. Kwa bongo gap ni kubwa sana yani wasanii wenye kipato cha kueleweka wanaonekana kabsa wengine njaa kali inaonekana kuanzia usoni ukiachana na majina yao makubwa plus maigizo yao ya mitandaoni. Swali ni langu ni issues za management ama wanadhulumiwa sana? Msanii kama Nandy anaonekana tajiri sana wakati kuna wasanii kibao wana vipaji kumzidi ila kiuchumi hawako vizuri sana. Au idea za uwekezaji wasanii wetu wengi hawana ama mziki haulipi?
Sponsors wameweka Hela yakutoshaNikiwa naangalia hapa mechi ya USA na Belgium nikakukumbuka Kuhusu matangazo niliyoyaona yamezagaa huko mtaani kuhusu show ya Nandy akiwa na wasanii kibao maarufu tu itakayofanyika katika ukumbi wa the climax uliopo mwanza siku ya jumamosi trh 11/7/2026. Kwa tathmini ya haraka ukumbi ule ukizidi sana unabeba watu 500 maana ni sehemu ndogo na kiingilio ni tsh 10,000 Kwa kichwa( elfu kumi) hivyo ukipiga hesabu ya haraka pesa ya kiingilio mlangoni ni milioni 5.Sasa najiuliza msanii mkubwa kama Nandy unamlipa shilingi ngapi Kwa kiingilio hicho!!?? Kumbuka pia Kuna wasanii wengine kibao tu tena maarufu na hapo bado hujaweka gharama za usafiri,hotel,steji,ushuru wa serikali n.k Sasa wajuzi wa mambo tufahamishane huyu muandaa show anapata vipi faida maana najaribu kuwaza sipati majibu,au Kuna kitu huwa kinafichwa nyuma ya pazia (utakatishaji pesa) au wasanii wana njaa kiasi hicho kiasi kwamba wanapiga show za hela ndogo pamoja na umaarufu wao!! Tufahamishane maana najaribu kutafakari ila naona manyoka nyoka tu
Na hata hao unaowaona wametoboa kimsingi bado sana,sana sana ni kumiliki kigari na nyumba mbili tatu ambazo hata mtu wa kawaida asiye msanii anazo,Sanaa yetu bado sana Kwa wasanii kupata faidaNa Mimi nasubiri waje watueleze vizuri. Mimi nachoshangaa ni kitu kimoja tu na nahitaji ufafanuzi mzuri kutoka kwa wataalamu wa maswala ya burdani. Ukiangalia wasanii kwenye nchi kama South Africa, Nigeria na mbele huko kama USA ni matajiri sana na wana vipato vizuri na ni ngumu kujua nani msanii njaa na nani matawi. Kwa bongo gap ni kubwa sana yani wasanii wenye kipato cha kueleweka wanaonekana kabsa wengine njaa kali inaonekana kuanzia usoni ukiachana na majina yao makubwa plus maigizo yao ya mitandaoni. Swali ni langu ni issues za management ama wanadhulumiwa sana? Msanii kama Nandy anaonekana tajiri sana wakati kuna wasanii kibao wana vipaji kumzidi ila kiuchumi hawako vizuri sana. Au idea za uwekezaji wasanii wetu wengi hawana ama mziki haulipi?
Inawezekana lakini bado napata shaka,kwamba ugharamie let say mil 50 ya show afu kwenye vinywaji uambulie faida ya mil 4-6.Faida Iko wapi hapo!!??Ukumbi unauza vinywaji
Unajitangaza
mmiliki anaweza kutoa hela mfukoni
Maelezo mafupi ila yamejitosheleza. Shukrani.Sponsors wameweka Hela yakutosha
Hao 500pax na hicho kiingilio cha 10k kimewekwa tu kuchuja wetu na kukwepa fujo, au kutoshusha brand ya msanii,kama vile band zilivyo shushwa thamani
Wao wadhamini wanapata nini,kutangaza kwa audience ya watu wasiozidi elfu 1 Tena wengi wao pangu pakavu kiingilio chenyewe Cha elfu 10 anadunduliza ndio aje apande precision air🤔🤔,serious au mimi mambo ya biashara yananipiga chengaHao wadhamini wako 9,wanacover gharama zote kuazia logistics na Kila kitu.
Kiingilio ni very minor thing na Wala sio target ya owner wa hiyo nandy festival, target ni sponsors
View attachment 3624042
Yanakupiga chenga kwelikweli.Wao wadhamini wanapata nini,kutangaza kwa audience ya watu wasiozidi elfu 1 Tena wengi wao pangu pakavu kiingilio chenyewe Cha elfu 10 anadunduliza ndio aje apande precision air🤔🤔,serious au mimi mambo ya biashara yananipiga chenga
Kwa nchi za wenzetu nakubaliana na wewe Kwa sababu uchumi wa mtu mmoja mmoja ni mkubwa na wanaweza kununua huduma ya sponsor wa show bila shida,ila Kwa huku kwetu mmmmmmmm hiyo ni ngumu kumeza maana wanaoenda kwenye shoo asilimia kubwa ni teenagers na wana vyuo wanaotegemea boom watu wenye uwezo mkubwa wa kiuchumi wanaoenda kwenye hizo show ni wa kuhesabu ambao ndio hao wanaweza kununua huduma za ma sponsors.Sasa unamtangazia nani pombe ya TZEE NI SISI wakati asilimia kubwa ya audience wanaingia ndani wameshalewa pombe za bei chee za nje ya ukumbi😅🤔Wenzetu mbele wamewekeza kwenye branding, matangazo vdo yanawalipa sana
Ok ni sawa anatangaza biashara yake kupitia social media,je, haiwezekani kupata publicity kwenye hizo social medias direct bila show za wasanii maana hapo unakuwa umeongeza gharama kubwa ya kudhamini show wakati ungetumia gharama kidogo kwenye socila medias na Bado ukawafikia watu wengi zaidiYanakupiga chenga kwelikweli.
Publicity anayoipata ni kubwa kuazia social medias,tv, radios nk kwa kuwa embedded kwenye hilo tamasha
Kitendo cha kusikia tu kinatoshaKwa nchi za wenzetu nakubaliana na wewe Kwa sababu uchumi wa mtu mmoja mmoja ni mkubwa na wanaweza kununua huduma ya sponsor wa show bila shida,ila Kwa huku kwetu mmmmmmmm hiyo ni ngumu kumeza maana wanaoenda kwenye shoo asilimia kubwa ni teenagers na wana vyuo wanaotegemea boom watu wenye uwezo mkubwa wa kiuchumi wanaoenda kwenye hizo show ni wa kuhesabu ambao ndio hao wanaweza kununua huduma za ma sponsors.Sasa unamtangazia nani pombe ya TZEE NI SISI wakati asilimia kubwa ya audience wanaingia ndani wameshalewa pombe za bei chee za nje ya ukumbi😅🤔