Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Matangazo ya makampuni wadhamini ndo lengo na si vingilio, kama ni mfatiliaji wa masumbwi kumbuka like pambano la Mayweather na Pacquiao, udhamini wa makampuni ndo ULIO changia kiasi kikubwa cha fedha na si vingilio