Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Hiyo ni minor issue....hao ma sponsor wanatoa pesa kibaoMuandaaji wa tamasha hufaidika kupitia vinywaji, vyakula na vitu vingine vinavyouzwa ukumbini.
Let's say bia 1 mtaani ni sh 2000. Pale ukumbini itauzwa sh 10000, hivyo muandaaji bia 1 atapata faida mara 5 ya yule anaepata faida mtaani.
Hapo bado vyakula mfano chips kuku mtaani sh 5000, ukumbini chips kuku hiyo hiyo itauzwa sh 25000.
I hope umenielewa mleta mada.
Umeiweka vyema hiiMatangazo ya makampuni wadhamini ndo lengo na si vingilio, kama ni mfatiliaji wa masumbwi kumbuka like pambano la Mayweather na Pacquiao, udhamini wa makampuni ndo ULIO changia kiasi kikubwa cha fedha na si vingilio