Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
ke wengi wanapenda kuongopewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumekuchaaaaa sasaTtiti for tatiii😄😄 pyeeee
Hakuna cha shavu la pili, toa wembe nitoe kisu😂😂😂Kumekuchaaaaa sasa
Tutoane akili 😂😂😂
😂😂😂 Unajua ww ni handsome halafu sio bahili, unanipa pesa ya vocha laki sio km wengine wanawapa afu tatu babe zao.! Na kuthibitisha hilo ss hivi utaniwekea laki 5 ya juice 🤣🤣🤣🤣Lamomy naomba uje unidanganye plz love
Hapo kwenye laki tano ndipo tatizo linapoanzia😂😂😂 Unajua ww ni handsome halafu sio bahili, unanipa pesa ya vocha laki sio km wengine wanawapa afu tatu babe zao.! Na kuthibitisha hilo ss hivi utaniwekea laki 5 ya juice 🤣🤣🤣🤣
Mbaga ujue mi shem wako, utanivunjia husiano langu na kuniita ita love mfyuuu!! 😂
Bc ngoja ntakuwa nakuita love huko PM 😎😂😂😂 Unajua ww ni handsome halafu sio bahili, unanipa pesa ya vocha laki sio km wengine wanawapa afu tatu babe zao.! Na kuthibitisha hilo ss hivi utaniwekea laki 5 ya juice 🤣🤣🤣🤣
Mbaga ujue mi shem wako, utanivunjia husiano langu na kuniita ita love mfyuuu!! 😂
😂😂😂 Basi usiniite tena ili nikudanganyeHapo kwenye laki tano ndipo tatizo linapoanzia
Mwehu we PM ipi? Pm yangu imejaa wambea wenzangu na wewe mbea? 😂😂😂Bc ngoja ntakuwa nakuita love huko PM 😎
Ntakuwa mbea wa mahaba 😍Mwehu we PM ipi? Pm yangu imejaa wambea wenzangu na wewe mbea? 😂😂😂
Dah sisi broken man hatuna haki ya kupendwa 😔😂😂😂 Basi usiniite tena ili nikudanganye
Ushakuwa kupe 😂😂😂Ntakuwa mbea wa mahaba 😍
😂😂😂 hamieni BurundiDah sisi broken man hatuna haki ya kupendwa 😔
Mungu anakuona 😂😂😂Kuna kasichana kamoja huwa nakatania we ni kazuri zuri kumshinda mama mtoto wangu.Kiukweli huwa nakadanganya kwa sababu ni kamkomavu.Kakawaambia watu eti mke wa baba G ni mbovuuu mpaka anaona haya kumposti.Kumbe kenyewe ndio kamkomavu na kameshupaa kama dume.
Bc sikutak tena usije kuumiza moyo wangu bureeeeeeeUshakuwa kupe 😂😂😂
Kwender 😂😂😂Bc sikutak tena usije kuumiza moyo wangu bureeeeeee
Yani na kutangaza katangaza?Kuna kasichana kamoja huwa nakatania we ni kazuri zuri kumshinda mama mtoto wangu.Kiukweli huwa nakadanganya kwa sababu ni kamkomavu.Kakawaambia watu eti mke wa baba G ni mbovuuu mpaka anaona haya kumposti.Kumbe kenyewe ndio kamkomavu na kameshupaa kama dume.
Me nashangaa kila dem nikimtongoza anaamini basi nampenda kweliii,huwa nacheka sana moyoni🤣Kuna mmoja hapa na macho ya kawaida tu, bas nikamwambia unamacho mazuri sana natamani niwe nakuangalia mara zote, eeh basi anajua ni kweli amekaa anayazunguusha zunguusha kumbe hakuna maajabu yoyote.
How possible?