jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Wazungu ndiyo wanapenda sana, niliwahi kumsifia mzungu na demu wake waliniomba niwapige picha kwenye yao, Nikamsifia mshikaji kwa kumwambia una jua kuchagua kweli na demu wake nikamsifia nikamwambie yeye mzuri sana ni Muss European, nikashangaa wananipa elf 50.ke wengi wanapenda kuongopewa.