Hivi wadada wa mjini mnawezaje

Hebu funguka mkuu hivi mnawezaje kuwahudumia watu zaid ya kumi na kila mtu ana imani kuwa wewe ni demu wake tupe siri ya kambi
simple tu mbon,,kila mmoja wilaya yake basi nakua na line kam zote😌 pia sera za kumwaga
 
simple tu mbon,,kila mmoja wilaya yake basi nakua na line kam zote😌 pia sera za kumwaga
Mh inatisha sana kwaiyo mtu anakuwa hataki kujua ukweli wala kukuchunguza circle yako ya mahusiano
 
Bro ukishaanza kuwaza hayo mambo au kutaman jinsi wanavoishi soon unapoteza ubingwa🌈🌈🌈
 
Nikufunze namna ya kuchomoka hapo au unatakaje [emoji23][emoji23]
Hapana, tunu yako ni ya kipekee sana kama kufa kisa Me tuko wengi mimi si wa kwanza kufia kwenye kinena [emoji119][emoji16]

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Yo boy is boyless
 
Off course wao ndio wenye majibu sahihi watuambie wanawezaje kuwapanga mijamaa foleni kutoka dar mpaka moro na misela isielewe kitu au wanatumia uchawi
Mm mwenyewe nlikua nalo limoja ivi kumbe tulikua kama 20+ dem ukimcheki external appearance very innocent...afu wa kimbulu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…