Hivi waislamu Leo wanasherehekea Nini?

Hivi waislamu Leo wanasherehekea Nini?

Status
Not open for further replies.

Ikitotanzila

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2020
Posts
1,409
Reaction score
2,263
Mi sijajua kabisa kinachorehekewa. Kwa mfano sisi wakristo huwa tunasherehekea kuzaliwa kwa bwana yesu (Christmas) na ufufuko wa yesu (pasaka) Sasa waislamu wanasherekea kumbukumbu ya kitu gani.

Au relief ya machungu ya kutokula mchana kwa almost a month au!!

Mi sijajua jamani naomba mnisaidie
 
Wana sheherekea kumaliza salama mwezi mtukufu wa Ramadhani wakiwa na afya na wazima kabisa , huku wakitarajia kupata faida ya kile walichojifunza katika Ramadhani kuyaendea maisha ya kila siku, hii ina maana kwamba kama walijitahidi kuacha maovu wakati wa mfungo wa Ramadhani basi waendelee hivyo na kuzidisha kufanya mambo mema na mazuri hata nje ya Ramadhani
 
Dah..inasikitisha sn kuona jinsi wakristo tunavyokosa hekima kwenye maswala yahusuyo dini ya kiislamu

Mbona wao hawana muda wa kuanzisha hizi mada za kuponda dini zingine km tufanyavyo Sisi wakristo?

Kwa nijuavyo Mimi,mtu akiitwa mkristo na akayashika mafundisho ya ukristo hawezi kuwa na Tabia za kipuuzi Kama hizi..

Bwana Yesu alituachia amri kuu ambayo ni UPENDO,akasema "mkipendana binti Kwa ninyi mwafanya ziada gani ?hata wapagani si ufanya hivyo?"...

Kwa kifupi swali lako umeuliza Kwa staili ya kejeli,na si Kwa kutaka kujua..Tubadilike asee

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Toka yule Shekhena wa Dar kumuabudu na kumwita Magufuli ni mungu wa BAKWATA na hajakatwa kichwa na waislamu, kama Quraan inavyoagiza, nimeachana na hii dini...
Umetoka kwenye hoja ya msingi ya mtoa mada umeanzisha hoja yako nyingine, sasa tabia za huyo sheikh mmoja au hata 100 ndio waislamu wote wabebe lawama? hii ni sawa na wale mapadre wanao lawiti watoto basi mapadre wote wanakuwa hawafai? jadili hoja kikubwa acha utoto
 
Wanasherekea kutoka kifungoni..sasa waanze upya na nguvu mpya na kasi mpya kutekeleza madhambi huku wakijiandaa tena na kufunga mwakani.

Walipaswa kuhuzunika sio kufurahia...mana mfungo ulipunguza sana dhambi mitaani...wao wanafurahi umeisha manake wanafurahi kurudi kufanya ufuska.

#MaendeleoHayanaChama
 
Dah..inasikitisha sn kuona jinsi wakristo tunavyokosa hekima kwenye maswala yahusuyo dini ya kiislamu

Mbona wao hawana muda wa kuanzisha hizi mada za kuponda dini zingine km tufanyavyo Sisi wakristo?

Kwa nijuavyo Mimi,mtu akiitwa mkristo na akayashika mafundisho ya ukristo hawezi kuwa na Tabia za kipuuzi Kama hizi..

Bwana Yesu alituachia amri kuu ambayo ni UPENDO,akasema "mkipendana binti Kwa ninyi mwafanya ziada gani ?hata wapagani si ufanya hivyo?"...

Kwa kifupi swali lako umeuliza Kwa staili ya kejeli,na si Kwa kutaka kujua..Tubadilike asee

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kuhoji au kuuliza jambo ili kupata ufafanuzi kuna kosa gani?

Kila jambo lazima lipimwe katika mizani ya haki na usawa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mi sijajua kabisa kinachorehekewa. Kwa mfano sisi wakristo huwa tunasherehekea kuzaliwa kwa bwana yesu (Christmas) na ufufuko wa yesu (pasaka) Sasa waislamu wanasherekea kumbukumbu ya kitu gani.

Au relief ya machungu ya kutokula mchana kwa almost a month au!!

Mi sijajua jamani naomba mnisaidie
Hii Vita ya Jihad uliyowatangazia utaiweza?
 
Wanasherekea kutoka kifungoni..sasa waanze upya na nguvu mpya na kasi mpya kutekeleza madhambi huku wakijiandaa tena na kufunga mwakani.

Walipaswa kuhuzunika sio kufurahia...mana mfungo ulipunguza sana dhambi mitaani...wao wanafurahi umeisha manake wanafurahi kurudi kufanya ufuska.

#MaendeleoHayanaChama
Kuna watu huwa mnateseka sana na dini za wengine
 
Wanasherekea kutoka kifungoni..sasa waanze upya na nguvu mpya na kasi mpya kutekeleza madhambi huku wakijiandaa tena na kufunga mwakani.

Walipaswa kuhuzunika sio kufurahia...mana mfungo ulipunguza sana dhambi mitaani...wao wanafurahi umeisha manake wanafurahi kurudi kufanya ufuska.

#MaendeleoHayanaChama
Ibada sio kifungo ni jambo la kumfurahisha muumbaji, tunasherehekea kwasababu Mungu ametufanyia wema tumemaliza salama kabisa, na matarajio ni kuishi vyema huku tukijiepusha na uovu na kuzidisha mema zaidi na zaidi
 
Tunasheherekea tu sherehe ili tufurahi sana.
 
Wana sheherekea kumaliza salama mwezi mtukufu wa Ramadhani wakiwa na afya na wazima kabisa , huku wakitarajia kupata faida ya kile walichojifunza katika Ramadhani kuyaendea maisha ya kila siku, hii ina maana kwamba kama walijitahidi kuacha maovu wakati wa mfungo wa Ramadhani basi waendelee hivyo na kuzidisha kufanya mambo mema na mazuri hata nje ya Ramadhani
Basi ni wachache wanafunga kwa kufuata haya, maana wengi nikama sheria......... maana vijiweni kulikuwa na maneno kama haya Bahati yako nikwasababu nimefunga ila.........na kama leo nikama wametoka kifungoni maana kuna sehemu nimepita si muda mrefu, umefungwa mziki mkubwa na wachezaji wake wanatishia amani kabisa 🤣
 
Hao ni watu ambao hawaijui imani yao kisawa sawa, uislamu huko wazi Ramadhan ni kama chuo cha kufunza watu kumcha Mungu , ili badae wakitoka kwenye Ramadhani wakawe mabalozi wazuri kwa watu wengine kuwa sasa tumekuwa wapya na uovu basi , ni mema kwa kwenda mbele
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom