Dah..inasikitisha sn kuona jinsi wakristo tunavyokosa hekima kwenye maswala yahusuyo dini ya kiislamu
Mbona wao hawana muda wa kuanzisha hizi mada za kuponda dini zingine km tufanyavyo Sisi wakristo?
Kwa nijuavyo Mimi,mtu akiitwa mkristo na akayashika mafundisho ya ukristo hawezi kuwa na Tabia za kipuuzi Kama hizi..
Bwana Yesu alituachia amri kuu ambayo ni UPENDO,akasema "mkipendana binti Kwa ninyi mwafanya ziada gani ?hata wapagani si ufanya hivyo?"...
Kwa kifupi swali lako umeuliza Kwa staili ya kejeli,na si Kwa kutaka kujua..Tubadilike asee
Sent from my CPH1923 using
JamiiForums mobile app