Hivi waislamu Leo wanasherehekea Nini?

Hivi waislamu Leo wanasherehekea Nini?

Status
Not open for further replies.
Toka yule Shekhena wa Dar kumuabudu na kumwita Magufuli ni mungu wa BAKWATA na hajakatwa kichwa na waislamu, kama Quraan inavyoagiza, nimeachana na hii dini.

Hii dini hii hovyo sana, mkristo masikini tunataka kumuua na takbiiirr nyingi sana, , lakini mkristo anaelisha viongozi wa BAKWATA ”Ubwabwa”anakua mungu wao kama mungu Magufuli wa shekhe wa Dar. Waislamu ni wanafiki mno.
Umeona eenhh??!!.Wanajifaga eti wana msimamo Kumbe sio.
 
Wana sheherekea kumaliza salama mwezi mtukufu wa Ramadhani wakiwa na afya na wazima kabisa , huku wakitarajia kupata faida ya kile walichojifunza katika Ramadhani kuyaendea maisha ya kila siku, hii ina maana kwamba kama walijitahidi kuacha maovu wakati wa mfungo wa Ramadhani basi waendelee hivyo na kuzidisha kufanya mambo mema na mazuri hata nje ya Ramadhani
Bravo
Maelezo mazuri
 
Dah..inasikitisha sn kuona jinsi wakristo tunavyokosa hekima kwenye maswala yahusuyo dini ya kiislamu

Mbona wao hawana muda wa kuanzisha hizi mada za kuponda dini zingine km tufanyavyo Sisi wakristo?

Kwa nijuavyo Mimi,mtu akiitwa mkristo na akayashika mafundisho ya ukristo hawezi kuwa na Tabia za kipuuzi Kama hizi..

Bwana Yesu alituachia amri kuu ambayo ni UPENDO,akasema "mkipendana binti Kwa ninyi mwafanya ziada gani ?hata wapagani si ufanya hivyo?"...

Kwa kifupi swali lako umeuliza Kwa staili ya kejeli,na si Kwa kutaka kujua..Tubadilike asee

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Karagabaoo!!!,Eti wenzetu Waislamu huwa hawaanzishi mada zenye kuponda imani zingine,hivi unawajua hawa viumbe au unawasikia??.Humu kuna mada nyingi zilizowahi kuanzishwa na hawa wafuasi wa Mtume kuponda Ukristo.
 
Mi sijajua kabisa kinachorehekewa. Kwa mfano sisi wakristo huwa tunasherehekea kuzaliwa kwa bwana yesu (Christmas) na ufufuko wa yesu (pasaka) Sasa waislamu wanasherekea kumbukumbu ya kitu gani.

Au relief ya machungu ya kutokula mchana kwa almost a month au!!

Mi sijajua jamani naomba mnisaidie
Una huakika Yesu alizaliwa 25/12
 
Mi sijajua kabisa kinachorehekewa. Kwa mfano sisi wakristo huwa tunasherehekea kuzaliwa kwa bwana yesu (Christmas) na ufufuko wa yesu (pasaka) Sasa waislamu wanasherekea kumbukumbu ya kitu gani.

Au relief ya machungu ya kutokula mchana kwa almost a month au!!

Mi sijajua jamani naomba mnisaidie
Kabla ya kukebehi imani ya wenzio nivema ukajifunza nakujua yakwako, pasaka si ufufuo wa kristo na krismas sikuzaliwa kwake pia kasome biblia uijue imani yako na kisha uje uulize kwa heshima juu ya imani zingine utajibiwa vizuri tu!
 
Dah..inasikitisha sn kuona jinsi wakristo tunavyokosa hekima kwenye maswala yahusuyo dini ya kiislamu

Mbona wao hawana muda wa kuanzisha hizi mada za kuponda dini zingine km tufanyavyo Sisi wakristo?

Kwa nijuavyo Mimi,mtu akiitwa mkristo na akayashika mafundisho ya ukristo hawezi kuwa na Tabia za kipuuzi Kama hizi..

Bwana Yesu alituachia amri kuu ambayo ni UPENDO,akasema "mkipendana binti Kwa ninyi mwafanya ziada gani ?hata wapagani si ufanya hivyo?"...

Kwa kifupi swali lako umeuliza Kwa staili ya kejeli,na si Kwa kutaka kujua..Tubadilike asee

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Changamoto ziwepo na tukubali kuziishi ndio maisha. Wakristo na Waislamu wavumiliane tu, hakuna ulio kamili . Kote kote kuna maswali yanahitaji majibu.
TUISHI mkuu.!
 
Hiyo ni kejeli tu.Wewe ndiyo akili yako haijaelewa kuwa mtoa mada kauliza kwa hekima au kauliza kwa kejeli.

Mtoa mada anatoa kejeli kwa kujificha chini ya mwavuli wa kuuliza swali.
Hapana mkuu, kama una amini hivyo basi unachotakiwa kufanya ni unajibu swali lake kama uko na jibu then mwisho unamwambi kuwa swali lako umeuliza kama kejeli/kebehi japo jibu nimekupa. Hata sisi wasomaji tutaweza ona jinsi gani wewe ni mkomavu katika imani yako
 
Mi sijajua kabisa kinachorehekewa. Kwa mfano sisi wakristo huwa tunasherehekea kuzaliwa kwa bwana yesu (Christmas) na ufufuko wa yesu (pasaka) Sasa waislamu wanasherekea kumbukumbu ya kitu gani.

Au relief ya machungu ya kutokula mchana kwa almost a month au!!

Mi sijajua jamani naomba mnisaidie
Umeuliza kwa dhihaka na sio kwa kutaka kujua na hilo linathibitishwa na paragraph yako ya pili,

Unaonekana unapitia machungu mengi sana kwenye maisha yako na life limekupiga kisawasawa ndio maana unatafuta relief kwa kuja kutapika humu,

Tafuta Hela ili upunguze sress za maisha.
 
Kabla ya kukebehi imani ya wenzio nivema ukajifunza nakujua yakwako, pasaka si ufufuo wa kristo na krismas sikuzaliwa kwake pia kasome biblia uijue imani yako na kisha uje uulize kwa heshima juu ya imani zingine utajibiwa vizuri tu!
Mshaanza hivi nyie viumbe kwa nini mmekosa kabisa hekima na subra kama Quraan inavyo wataka muwe?! Kwani ukimjibu kwa kuonyesha umekomaa na kumzidi hekima si utavuna mema.
 
.

IMG-20220503-WA0019.jpg
 
Wakristo baadhi wana chuki binafsi na Uislam
Uzi kuhusu wakristo ukiletwa na mkristo huwezi kukuta muislam anachangia kwa kejeli wala kuuliza maswali yasiyotuhusu
Kweli mna roho mbaya sana na tunaona kila sehemu kwa ubaya wa tabia dhidi ya Uislam

Huwezi kejeli dini za watu Mbona huulizi kwa nini utawala wenu mauwaji na wizi ni mwingi sana wakati kutwa mnasali?
EPA, Escrow mpaka hela walipokea maaskofu bila aibu
Leo unahoji Eid kama inakuhusu
Kwanini usiulize yanayokuhusu?

Kwa kweli tunajua rangi zenu hata viongozi wenu kwa unafiki
Ijumaa kuvaa kanzu na kofia wakati anaitwa John ni unafiki tunaoujua ila mnajidhalilisha tu mkifikiri tutawaamini eti mna upendo
Acheni kila mmoja aabudu anachoabudu
Muwe na siku njema ingawa mnatukera lakini tunawachora tu
Mkuu mfano mimi ni Mhaya, nikiuliza hivi kwanini Wachaga kila mwisho wa mwaka wanaenda kwao?
Je utasema hiyo ni kejeli au sipaswi kuuliza kwa sababu mimi siyo mchaga?
Hapo wewe kama Mchaga na unajua jibu unapaswa kunijibu basi na siyo kujificha eti wewe Mhaya kwanini unauliza mambo ya wachaga. Jibu swali usepe kama huna jibu piga kimya
 
Shukran kwa nasaha zako.

mimi huwa pia inanishangaza mtu akiuliza lolote kuhusu Uislam lazima aweke kejeli na kebehi

ila kwa umri wangu na uzoefu wangu wa kuishi na watu mbalimbali ukifuatilia utagundua hao watu wana sifa moja kubwa sana 'hawana exposure ya kutosha ' kwa maana mara nyingi sana huwa hawana uzoefu wa kuishi na jamii tofauti na ile ya kwake

Mimi tangu nazaliwa najikuta najichanganya na wasukuma,wachaga,wafipa, wanyamwezi waislam,wakristo, baniani, hinduz wale budhaa huwa nachukulia hizi diversity ni vitu vya kawaida sana kuanzia niliposoma, kwny Jamii ya michezo, kazini na maeneo mengine lakin kwny hayo makundi akiingia au ukikutana na jitu limekosa exposure ya kutosha lazima aanze kuleta mambo ya makabila kabila, dini dini n.k

Dah..inasikitisha sn kuona jinsi wakristo tunavyokosa hekima kwenye maswala yahusuyo dini ya kiislamu

Mbona wao hawana muda wa kuanzisha hizi mada za kuponda dini zingine km tufanyavyo Sisi wakristo?

Kwa nijuavyo Mimi,mtu akiitwa mkristo na akayashika mafundisho ya ukristo hawezi kuwa na Tabia za kipuuzi Kama hizi..

Bwana Yesu alituachia amri kuu ambayo ni UPENDO,akasema "mkipendana binti Kwa ninyi mwafanya ziada gani ?hata wapagani si ufanya hivyo?"...

Kwa kifupi swali lako umeuliza Kwa staili ya kejeli,na si Kwa kutaka kujua..Tubadilike asee

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Hapana mkuu, kama una amini hivyo basi unachotakiwa kufanya ni unajibu swali lake kama uko na jibu then mwisho unamwambi kuwa swali lako umeuliza kama kejeli/kebehi japo jibu nimekupa. Hata sisi wasomaji tutaweza ona jinsi gani wewe ni mkomavu katika imani yako
Unajua Imani yangu?

Mimi ninaamini Mungu yupo hata mababu zangu walimuamini Mungu.Siwezi kejeli wakristo,waislamu,wabuda n.k kwa kuwa naamini hizo ni Imani watu walizoamua kuziamini.

Kanisani naingia,msikitini naingia popote pale penye Imani naingia kujifunza mambo mema siyo kutaka kujenga utengano katika jamii.Dini zote nazizingatia.
 
Mshaanza hivi nyie viumbe kwa nini mmekosa kabisa hekima na subra kama Quraan inavyo wataka muwe?! Kwani ukimjibu kwa kuonyesha umekomaa na kumzidi hekima si utavuna mema.
ulipaswa umjibu wewe sasa mbona unanijibu mimi? Au nawewe umekosa subra na hekima?
 
Ibada sio kifungo ni jambo la kumfurahisha muumbaji, tunasherehekea kwasababu Mungu ametufanyia wema tumemaliza salama kabisa, na matarajio ni kuishi vyema huku tukijiepusha na uovu na kuzidisha mema zaidi na zaidi
Mungu akubariki sana ndugu ielewemitaa . Unajibu kwa adabu, heshima na unyenyekevu mkubwa.
Ningependa sote sisi wakristo na waislamu tuwe kama wewe.
Kongole sana, endelea hivyo hivyo na Mungu akubariki sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom