Kwanini wasijibu swali tu na mjadala uisheUnatafuta ugomvi?Utaitwa kafir sasa hivi unune.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini wasijibu swali tu na mjadala uisheUnatafuta ugomvi?Utaitwa kafir sasa hivi unune.
Ngoja walete majibu.Kwanini wasijibu swali tu na mjadala uishe
Kwa kweli mkuu wewe wajibu vyema sana. Tena very simpleIbada sio kifungo ni jambo la kumfurahisha muumbaji, tunasherehekea kwasababu Mungu ametufanyia wema tumemaliza salama kabisa, na matarajio ni kuishi vyema huku tukijiepusha na uovu na kuzidisha mema zaidi na zaidi
Huu ni uongo, kama hujui usiwajibie pleaseWanasherehekea kufufuka kwa Mohammed
Mkuu unaweza onyesha sentensi ipi ni ugomvi zaidi ya swali?Mimi ni mkristu kamili Ila sijapenda ulichoandika mkristu mwenzangu,huu ni ugomvi kabisaa.
Allah kaishasema ndani ya Qur'an. ".......... Na wanapenda muweTunaosherekea ni Sisi Waisalamu ambao Tuna Dini yetu, Na nyie mna Dini Yenu. Wewe Unaanza Kuuliza kwa Kejeli Tena unalinganisha na unachokiabudu au kukiamini wewe...
Kumalizika kwa mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhaniKwahiyo mnasherehekea nini sasa?
Mtu anauliza swali wewe akili yako inasema analeta kejeli? Mbona mdau mmoja kajibu vizuri tu. Akili yako kwakuwa haina jibu unajificha kwenye eti kejeli!Hakika,eti kabisa mtu analeta mada za chuki.Anaandika kwa kejeli alafu anajiona yupo sahihi.Hivi kwa hizi akili zitatuletea maendeleo?
Safi sana mkuu, nakuelewa sana.Hao ni watu ambao hawaijui imani yao kisawa sawa, uislamu huko wazi Ramadhan ni kama chuo cha kufunza watu kumcha Mungu , ili badae wakitoka kwenye Ramadhani wakawe mabalozi wazuri kwa watu wengine kuwa sasa tumekuwa wapya na uovu basi , ni mema kwa kwenda mbele
Jibu la swali liko wapi? Acha kuzunguka mbuyuAiseee....
Kosa Mali upate akili. Bila shaka akili ikiwepo, busara na hekima kabla ya kufanya au kuuliza lolote itakuwepo.
Hiyo ni kejeli tu.Wewe ndiyo akili yako haijaelewa kuwa mtoa mada kauliza kwa hekima au kauliza kwa kejeli.Mtu anauliza swali wewe akili yako inasema analeta kejeli? Mbona mdau mmoja kajibu vizuri tu. Akili yako kwakuwa haina jibu unajificha kwenye eti kejeli!
Haya ya juu imeonyesha jinsi gani ulivyo mkomavu katika dini yako na umejibu swali vizuri sana. Ila haya ya mwisho umeshambulia ukristo kitu ambacho si sahihiTunasherehekea Eid kwa kufanya ibada kwa kula na kunywa vilivyo halali, Eid kwetu sisi waislam siyo sherehe tu Ila ni ibada pia, hivyo ukiona mtu anakunywa pombe,anazini na kufanya maasi siku ya eid huyo anakosea na siyo katika mafundisho ya uislam.
Mmekua mkitudhiki waislam kwa muda wote wa ramadhan na hata eid pia lakin sisi hatuumizwi na hayo mnayo yafanya pengine ni katika mafundisho ya ukristo
Mkuu jibu swali acha kuzunguka zunguka.Baadhi ya wakristu mnatia aibu wenzenu, hivi huwa mnajiskiaje mpaka mnakuja na hoja zisizo na maana kama hizi za mtoa mada. Ni muhimu kwenu kujitathmini mnabeba chuki na kutengeneza hasira kwenye nafsi zenu kijinga sana kiasi kwamba mnaonekana kama wehu hata kama mmeelimika kwa kiwango kikubwa.
Tuacheni na dini yetu na nyinyi mbaki na dini yenu. Maneno ya kejeli hayafai. Tuwe wastahamikivu. Humu jamvini muna mada za kijinga nyingi zinaanzishwa na wakristu ila hukuti waislamu wakianza kuhoji utumbo wenu mnaufanya makanisani.
...mbona waislamu hawaji na hoja za kijinga jinga mfano:-
1. Kwanini wakristu muoe mke mmoja wakato hakuna andiko lolote ndani ya bible linaloelekeza hilo jambo. Ispokuwa nyinyi wakristu wa Tz mnafuata mila na desturi za wamagharibi kuoa mwanamke mmoja.
2. Kanisani kuna muda huwa mnasameheana dhambi, mkristu na akili yako timamu na elimu ulonayo unaingia kwenye chumba kidogo na kutaja makosa yako halafu unaamini kiongozi wako wa kanisa anakusamehe midhambi yako na pesa unatoa kwa kuamini kuwa ulishajitakasa unaenda anza mwanzo.
Na mingi mengine mambo ya ajabu kabisa ambayo mmnafanyiwa makanisani ila hukuti waislamu kuja hapa na kuanza kuhoji upumbavu kama nyinyi mnavyokuja na kujifanya werevu na wajuaji mkaanza kuponda imani za wenzenu.
MUWE NA ADABU
Mkatoliki si mshindani wenu kiimani ila kisiasa(kidunia)ni adui yenu namba 1.Tatizo ni moja tu mkuu egoism..Wakristo wa nchi hii wanajiona wameelimika zaidi kuliko waislamu kwahyo huwachukulia waislamu kama watu wanaofanya mambo kienyeji sana,ujinga kama huu ndio maana baadhi ya nchi kunaibukaga vita vya kidini kwa kashfa kama hizi zisizo kichwa wala miguu...Ingekuwa vizuri sana kila mtu angeshinda mechi zake maana hata waislamu walishasema kwamba Mungu unayemuabudu ww(mkristo/myahudi) sio Mungu anayemuabudu yeye sada kwanini umuingilie yule ambaye kaamua kwenda njia tofauti na wewe? Na upumbavu kama huu mara nyingi wanao wanaoabudu kwenye haya makanisa ya kilokole kama MINOCYCLINE huwezi kumkuta mkristo mwenye akili timamu tena mkatoliki akafanya huu upuuzi
Ahsante sana kwa jibu la hekma, linaloendana na uelewa na muulizaji na lililopisha, kwa busara ya hali ya juu, nia haswaa ya muuliza swali......mtifuano! Kuna maostadhi wangekuja kuchwakuchwa hapa na kuanza kurushiana maneno yasiyofaa.Wana sheherekea kumaliza salama mwezi mtukufu wa Ramadhani wakiwa na afya na wazima kabisa , huku wakitarajia kupata faida ya kile walichojifunza katika Ramadhani kuyaendea maisha ya kila siku, hii ina maana kwamba kama walijitahidi kuacha maovu wakati wa mfungo wa Ramadhani basi waendelee hivyo na kuzidisha kufanya mambo mema na mazuri hata nje ya Ramadhani
Jibu swali mkuu acha na wewe kuzunguka zunguka. Swala la yesu kufufuka ametoa kama mfano wa wakristo wanacho sherekea. Wala hajasema na nyie msherekee hilo au muamini hilo. Swali ni nyie mnasherekea nini?Tunaosherekea ni Sisi Waisalamu ambao Tuna Dini yetu, Na nyie mna Dini Yenu. Wewe Unaanza Kuuliza kwa Kejeli Tena unalinganisha na unachokiabudu au kukiamini wewe.
Kwakuwa unaamini Yesu alizaliwa na Alifufuliwa unalazimisha na Waislamu Tuamini Hivyo.
Ninyi Mna Dini yenu na Sisi Tuna Dini Yetu.
Amini Kile kinachokuhusu Bila kukejeli imani za wengine na Tena Haujalazimishwa usherekee.
#Mnaanzisha Nyuzi Nyingi sana Zenye Kejeli Juu Ya Uislamu ilhali waislamu wenyewe hawafanyi hivyo Kuhusu Dini Yenu, Hii sio Sawa. Kwani Hauwezi Kuamini imani yako Bila Kukejeli imani za wengine??
Wewe umenifanya nikafute nilichojibuMm ni mkrisu lkn mleta nada ni wakumpuuza .Akili zake zipo kwenye boxer
Hii sasa siyo poa. Usijibu kama hujui hasa pia kama siyo imani yako. Huu ni kama mzaha kwenye imani ya watu wengineWanasheherekea kuisha kwa kupinduliwa ratiba ya kula (mchana) na kufunga (usiku) ikawa kinyume chake