Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Umetoka kwenye hoja ya msingi ya mtoa mada umeanzisha hoja yako nyingine, sasa tabia za huyo sheikh mmoja au hata 100 ndio waislamu wote wabebe lawama? hii ni sawa na wale mapadre wanao lawiti watoto basi mapadre wote wanakuwa hawafai? jadili hoja kikubwa acha utotoToka yule Shekhena wa Dar kumuabudu na kumwita Magufuli ni mungu wa BAKWATA na hajakatwa kichwa na waislamu, kama Quraan inavyoagiza, nimeachana na hii dini...
Kuhoji au kuuliza jambo ili kupata ufafanuzi kuna kosa gani?Dah..inasikitisha sn kuona jinsi wakristo tunavyokosa hekima kwenye maswala yahusuyo dini ya kiislamu
Mbona wao hawana muda wa kuanzisha hizi mada za kuponda dini zingine km tufanyavyo Sisi wakristo?
Kwa nijuavyo Mimi,mtu akiitwa mkristo na akayashika mafundisho ya ukristo hawezi kuwa na Tabia za kipuuzi Kama hizi..
Bwana Yesu alituachia amri kuu ambayo ni UPENDO,akasema "mkipendana binti Kwa ninyi mwafanya ziada gani ?hata wapagani si ufanya hivyo?"...
Kwa kifupi swali lako umeuliza Kwa staili ya kejeli,na si Kwa kutaka kujua..Tubadilike asee
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hii Vita ya Jihad uliyowatangazia utaiweza?Mi sijajua kabisa kinachorehekewa. Kwa mfano sisi wakristo huwa tunasherehekea kuzaliwa kwa bwana yesu (Christmas) na ufufuko wa yesu (pasaka) Sasa waislamu wanasherekea kumbukumbu ya kitu gani.
Au relief ya machungu ya kutokula mchana kwa almost a month au!!
Mi sijajua jamani naomba mnisaidie
Kuna watu huwa mnateseka sana na dini za wengineWanasherekea kutoka kifungoni..sasa waanze upya na nguvu mpya na kasi mpya kutekeleza madhambi huku wakijiandaa tena na kufunga mwakani.
Walipaswa kuhuzunika sio kufurahia...mana mfungo ulipunguza sana dhambi mitaani...wao wanafurahi umeisha manake wanafurahi kurudi kufanya ufuska.
#MaendeleoHayanaChama
Ibada sio kifungo ni jambo la kumfurahisha muumbaji, tunasherehekea kwasababu Mungu ametufanyia wema tumemaliza salama kabisa, na matarajio ni kuishi vyema huku tukijiepusha na uovu na kuzidisha mema zaidi na zaidiWanasherekea kutoka kifungoni..sasa waanze upya na nguvu mpya na kasi mpya kutekeleza madhambi huku wakijiandaa tena na kufunga mwakani.
Walipaswa kuhuzunika sio kufurahia...mana mfungo ulipunguza sana dhambi mitaani...wao wanafurahi umeisha manake wanafurahi kurudi kufanya ufuska.
#MaendeleoHayanaChama
[emoji204]Wanasherehekea kufufuka kwa Mohammed
Iko hivyo kaka dini ni silaha tosha za kugawanya nguvu na kuwatawala watuKweli dini zililetwa kuwagawanya waafrika.Utaona mkristo akiukashifu uislamu na muislamu akiukashifu ukristo
Kwanini sasa? wakati kauliza swali na majibu ya kiungwana amepewaUnatafuta ugomvi?Utaitwa kafir sasa hivi unune.
Basi ni wachache wanafunga kwa kufuata haya, maana wengi nikama sheria......... maana vijiweni kulikuwa na maneno kama haya Bahati yako nikwasababu nimefunga ila.........na kama leo nikama wametoka kifungoni maana kuna sehemu nimepita si muda mrefu, umefungwa mziki mkubwa na wachezaji wake wanatishia amani kabisa 🤣Wana sheherekea kumaliza salama mwezi mtukufu wa Ramadhani wakiwa na afya na wazima kabisa , huku wakitarajia kupata faida ya kile walichojifunza katika Ramadhani kuyaendea maisha ya kila siku, hii ina maana kwamba kama walijitahidi kuacha maovu wakati wa mfungo wa Ramadhani basi waendelee hivyo na kuzidisha kufanya mambo mema na mazuri hata nje ya Ramadhani
Hawa dizain ni protestants hawana hekima hata kidogo ktk maisha yao ya kiimani.Mimi ni mkristu kamili Ila sijapenda ulichoandika mkristu mwenzangu,huu ni ugomvi kabisaa.
Hao ni watu ambao hawaijui imani yao kisawa sawa, uislamu huko wazi Ramadhan ni kama chuo cha kufunza watu kumcha Mungu , ili badae wakitoka kwenye Ramadhani wakawe mabalozi wazuri kwa watu wengine kuwa sasa tumekuwa wapya na uovu basi , ni mema kwa kwenda mbeleBasi ni wachache wanafunga kwa kufuata haya, maana wengi nikama sheria......... maana vijiweni kulikuwa na maneno kama haya Bahati yako nikwasababu nimefunga ila.........na kama leo nikama wametoka kifungoni maana kuna sehemu nimepita si muda mrefu, umefungwa mziki mkubwa na wachezaji wake wanatishia amani kabisa 🤣