myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Si muhimu kujua kisichokuhusu.....Mi sijajua kabisa kinachorehekewa. Kwa mfano sisi wakristo huwa tunasherehekea kuzaliwa kwa bwana yesu (Christmas) na ufufuko wa yesu (pasaka) Sasa waislamu wanasherekea kumbukumbu ya kitu gani.
Au relief ya machungu ya kutokula mchana kwa almost a month au!!
Mi sijajua jamani naomba mnisaidie
Akili yako haina akili, mwambie yule kiongozi aliekuelekeza kumuabudu mwanaadam kama Magufuli au Samia ili apate pesa, mimi nina hofu ya Allah, na adhabu zake. siuzi imani yangu.Umetoka kwenye hoja ya msingi ya mtoa mada umeanzisha hoja yako nyingine, sasa tabia za huyo sheikh mmoja au hata 100 ndio waislamu wote wabebe lawama? hii ni sawa na wale mapadre wanao lawiti watoto basi mapadre wote wanakuwa hawafai? jadili hoja kikubwa acha utoto
Tatizo ni moja tu mkuu egoism..Wakristo wa nchi hii wanajiona wameelimika zaidi kuliko waislamu kwahyo huwachukulia waislamu kama watu wanaofanya mambo kienyeji sana,ujinga kama huu ndio maana baadhi ya nchi kunaibukaga vita vya kidini kwa kashfa kama hizi zisizo kichwa wala miguu.Dah..inasikitisha sn kuona jinsi wakristo tunavyokosa hekima kwenye maswala yahusuyo dini ya kiislamu
Mbona wao hawana muda wa kuanzisha hizi mada za kuponda dini zingine km tufanyavyo Sisi wakristo...
🙏🙏Dah..inasikitisha sn kuona jinsi wakristo tunavyokosa hekima kwenye maswala yahusuyo dini ya kiislamu
Mbona wao hawana muda wa kuanzisha hizi mada za kuponda dini zingine km tufanyavyo Sisi wakristo?
Kwa nijuavyo Mimi,mtu akiitwa mkristo na akayashika mafundisho ya ukristo hawezi kuwa na Tabia za kipuuzi Kama hizi..
Bwana Yesu alituachia amri kuu ambayo ni UPENDO,akasema "mkipendana binti Kwa ninyi mwafanya ziada gani ?hata wapagani si ufanya hivyo?"...
Kwa kifupi swali lako umeuliza Kwa staili ya kejeli,na si Kwa kutaka kujua..Tubadilike asee
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Maendeleo hayaji bila kukubali tatizo letu na kulifanyia kaziHakika,eti kabisa mtu analeta mada za chuki.Anaandika kwa kejeli alafu anajiona yupo sahihi.Hivi kwa hizi akili zitatuletea maendeleo?
Jitu likikomaa kwenye UKAFIRI huwa na maneno na akili kama yako.Wanasherehekea kufufuka kwa Mohammed
Kabisaa!! Ovyoo kabisaaaHawa dizain ni protestants hawana hekima hata kidogo ktk maisha yao ya kiimani.
Na kufundisha tena kiongozi wa kiislamu akifanya jambo la ovyo hata yeye anayo hukumu kwa Muumba, Uislamu ni zaidi ya huyo sheikh , UISLAMU ni Quran na Sunah sio matendo ya sheikh , kwahiyo hata Sheikh akibaka akifika kwa Mola wake adhabu yake anayo, hivyo basi huwezi wapa waislamu wote lawama au kuwatoa thamani kwa matendo ya sheikh yeyote yuleAkili yako haina akili, mwambie yule kiongozi aliekuelekeza kumuabudu mwanaadam kama Magufuli au Samia ili apate pesa, mimi nina hofu ya Allah, na adhabu zake. siuzi imani yangu. Ila uislmu na waislamu kuacha kuifukia ile takataka ikiwa hai. Nimeacha hii dini na huo ndio msimamo wangu. Mkikata kichwa yule Ibilisi , narudi msikitini. hao wa kristo kulawiti watoto wa kikristo ndio imani yao si unaona wazazi watoa watoto wao pesa zao, huko ni majanga zaidi. na mambo yao hayanihusu Shekhe wangu , Eid Mubarak..!
Pole sana kwa kuwa na Hasira tu Ndugu.Tatizo ni moja tu mkuu egoism..Wakristo wa nchi hii wanajiona wameelimika zaidi kuliko waislamu kwahyo huwachukulia waislamu kama watu wanaofanya mambo kienyeji sana,ujinga kama huu ndio maana baadhi ya nchi kunaibukaga vita vya kidini kwa kashfa kama hizi zisizo kichwa wala miguu...Ingekuwa vizuri sana kila mtu angeshinda mechi zake maana hata waislamu walishasema kwamba Mungu unayemuabudu ww(mkristo/myahudi) sio Mungu anayemuabudu yeye sada kwanini umuingilie yule ambaye kaamua kwenda njia tofauti na wewe? Na upumbavu kama huu mara nyingi wanao wanaoabudu kwenye haya makanisa ya kilokole kama MINOCYCLINE huwezi kumkuta mkristo mwenye akili timamu tena mkatoliki akafanya huu upuuzi
Unasali kanisa gani hapo Goba ulipokimbiaga ajali kipindi kile?!Pole sana kwa kuwa na Hasira tu Ndugu.
Waweza kuwa uko sahihi mkuu, lakini vp kama ungejikita kuelezea wanacho sherekea badala ya kumshambulia muuliza swali huoni kama ungekuwa umefanya vizuri zaidi na wengi wangejifunza.Dah..inasikitisha sn kuona jinsi wakristo tunavyokosa hekima kwenye maswala yahusuyo dini ya kiislamu
Mbona wao hawana muda wa kuanzisha hizi mada za kuponda dini zingine km tufanyavyo Sisi wakristo...
Nafikiri umejua tatizo.Ingawa sio wote lakini kuna wapumbavu wachache wanao tafuta malumbano ya kijinga.Dawa ni kuwapuuza tu.Dah..inasikitisha sn kuona jinsi wakristo tunavyokosa hekima kwenye maswala yahusuyo dini ya kiislamu
Mbona wao hawana muda wa kuanzisha hizi mada za kuponda dini zingine km tufanyavyo Sisi wakristo?
Kwa nijuavyo Mimi,mtu akiitwa mkristo na akayashika mafundisho ya ukristo hawezi kuwa na Tabia za kipuuzi Kama hizi..
Bwana Yesu alituachia amri kuu ambayo ni UPENDO,akasema "mkipendana binti Kwa ninyi mwafanya ziada gani ?hata wapagani si ufanya hivyo?"...
Kwa kifupi swali lako umeuliza Kwa staili ya kejeli,na si Kwa kutaka kujua..Tubadilike asee
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app