Hivi waislamu Leo wanasherehekea Nini?

Status
Not open for further replies.
Ibada sio kifungo ni jambo la kumfurahisha muumbaji, tunasherehekea kwasababu Mungu ametufanyia wema tumemaliza salama kabisa, na matarajio ni kuishi vyema huku tukijiepusha na uovu na kuzidisha mema zaidi na zaidi
Kwa kweli mkuu wewe wajibu vyema sana. Tena very simple
 
Tunaosherekea ni Sisi Waisalamu ambao Tuna Dini yetu, Na nyie mna Dini Yenu. Wewe Unaanza Kuuliza kwa Kejeli Tena unalinganisha na unachokiabudu au kukiamini wewe...
Allah kaishasema ndani ya Qur'an. ".......... Na wanapenda muwe
mkafiri (Qur'an 60:2)
 
Hakika,eti kabisa mtu analeta mada za chuki.Anaandika kwa kejeli alafu anajiona yupo sahihi.Hivi kwa hizi akili zitatuletea maendeleo?
Mtu anauliza swali wewe akili yako inasema analeta kejeli? Mbona mdau mmoja kajibu vizuri tu. Akili yako kwakuwa haina jibu unajificha kwenye eti kejeli!
 
Safi sana mkuu, nakuelewa sana.
 
Aiseee....

Kosa Mali upate akili. Bila shaka akili ikiwepo, busara na hekima kabla ya kufanya au kuuliza lolote itakuwepo.
Jibu la swali liko wapi? Acha kuzunguka mbuyu
 
Mtu anauliza swali wewe akili yako inasema analeta kejeli? Mbona mdau mmoja kajibu vizuri tu. Akili yako kwakuwa haina jibu unajificha kwenye eti kejeli!
Hiyo ni kejeli tu.Wewe ndiyo akili yako haijaelewa kuwa mtoa mada kauliza kwa hekima au kauliza kwa kejeli.

Mtoa mada anatoa kejeli kwa kujificha chini ya mwavuli wa kuuliza swali.
 
Haya ya juu imeonyesha jinsi gani ulivyo mkomavu katika dini yako na umejibu swali vizuri sana. Ila haya ya mwisho umeshambulia ukristo kitu ambacho si sahihi
 
Wakristo baadhi wana chuki binafsi na Uislam
Uzi kuhusu wakristo ukiletwa na mkristo huwezi kukuta muislam anachangia kwa kejeli wala kuuliza maswali yasiyotuhusu
Kweli mna roho mbaya sana na tunaona kila sehemu kwa ubaya wa tabia dhidi ya Uislam

Huwezi kejeli dini za watu Mbona huulizi kwa nini utawala wenu mauwaji na wizi ni mwingi sana wakati kutwa mnasali?
EPA, Escrow mpaka hela walipokea maaskofu bila aibu
Leo unahoji Eid kama inakuhusu
Kwanini usiulize yanayokuhusu?

Kwa kweli tunajua rangi zenu hata viongozi wenu kwa unafiki
Ijumaa kuvaa kanzu na kofia wakati anaitwa John ni unafiki tunaoujua ila mnajidhalilisha tu mkifikiri tutawaamini eti mna upendo
Acheni kila mmoja aabudu anachoabudu
Muwe na siku njema ingawa mnatukera lakini tunawachora tu
 
Mkuu jibu swali acha kuzunguka zunguka.
Hata maswali yako juu ya ukristo mimi kwangu naona hayana kosa wala kashfa yeyote yatakiwa kujibiwa na wala siyo shambulio kwa ukristo
 
Mkatoliki si mshindani wenu kiimani ila kisiasa(kidunia)ni adui yenu namba 1.
 
Ahsante sana kwa jibu la hekma, linaloendana na uelewa na muulizaji na lililopisha, kwa busara ya hali ya juu, nia haswaa ya muuliza swali......mtifuano! Kuna maostadhi wangekuja kuchwakuchwa hapa na kuanza kurushiana maneno yasiyofaa.
 
Jibu swali mkuu acha na wewe kuzunguka zunguka. Swala la yesu kufufuka ametoa kama mfano wa wakristo wanacho sherekea. Wala hajasema na nyie msherekee hilo au muamini hilo. Swali ni nyie mnasherekea nini?
 
Wanasheherekea kuisha kwa kupinduliwa ratiba ya kula (mchana) na kufunga (usiku) ikawa kinyume chake
Hii sasa siyo poa. Usijibu kama hujui hasa pia kama siyo imani yako. Huu ni kama mzaha kwenye imani ya watu wengine
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…