Hivi waislamu Leo wanasherehekea Nini?

Status
Not open for further replies.
Hekima mkuu hekima , ukimjibu vizuri unakua umeleta amani.
Umeona eenhh??!!.Wanajifaga eti wana msimamo Kumbe sio.
Nasubiri nione msimamo , wamkate kichwa shekhe wa Dar au wamfukie akiwa hai, vinginevyo wakae kimya kabisa. Tusichoshane.
 
Isome tena thd na hasa paragraph ya pili ili uone mleta mada kauliza swali kwa dhihaka na kejeli na sio kwa kutaka kujua.
 
Wanasheherekea kama walivyoelekezwa[emoji116]
Hosea 9:5 "mtafanya nini katika siku ya mkutano wa IDI na katika siku ya kalamu ya bwana"
Kwanini umeweka neno IDI hapo mkuu allah anabariki uongo?katika BIBLIA kuna sehemu MUNGU anasema anazichukia sikukuu zenu za mwandamo wa mwezi je unadhani hii ilewalenga waislamu kwa vile ndio wanaoufuata mwandamo wa mwezi?
 
Hekima mkuu hekima , ukimjibu vizuri unakua umeleta amani.

Nasubiri nione msimamo , wamkate kichwa shekhe wa Dar au wamfukie akiwa hai, vinginevyo wakae kimya kabisa. Tusichoshane.
Mpumbavu hupokelewa kama anavyokuja,mpumbavu huwezi kumjibu kwa hekima coz hajui hekima ni nini,watu kama hao ukiangalia background zao utagundua kua wamekulia kwenye maisha ya hovyo yasio yakimaadili mema.
 
Msaidie awe mwema hakuna aliekamilika. Sote tuombeane uokovu na heri.
 
Isome tena thd na hasa paragraph ya pili ili uone mleta mada kauliza swali kwa dhihaka na kejeli na sio kwa kutaka kujua.

Miaka hii mmzidisha chuki za waziwazi.Kule mama anaipeperusha Bendera vizuri,wapenda ofa za wale wanaowagaia keki ya taifa peke yenu hamna.
Endeleeni kuumia ili sisi tufurahi[emoji2211][emoji126]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…