Hivi wakemia ulimwenguni kote wameshindwa kabisa kutengeneza dawa ya kutibu UKIMWI?

Huyo wa ku prove hiko kitu ni wewe au unategemea mtu mwingine..?
 
😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Daah na hii picha hapa..
Anachofanya mfamasia ile ni nini..?
 
Hii hoja hua naona hai make sense kwasababu hata wakipata dawa bado si wataendelea kufanya biashara ya dawa maana si watu wataendelea kuambukizwa watahitaji dawa kwa ajili ya kupona kama ilivo malaria, amoeba, kaswende, uti nk.
 
.
Ugonjwa umekaa sehemu mbaya
 
😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Daah na hii picha hapa..
Anachofanya mfamasia ile ni nini..?

Mkuu mfamasia anahusika na mengi kuhusu dawa:

1. Itajishikiza wapi (receptors)
2. Dozi (Half life --> dosage)
3. Ufanisi wake (efficacy)
4. Usalama wake (safety)
5. Matumizi yake pamoja madhara (Tolerability).
6. Nk nk.

Yapo makolokolo mengi.

Kila mtu na akashinde mechi zake.
 
Unakosea ukisema duniani kote.
Huko uraya na marekani mbona hawalalamiki kama huku?
Homa inayotumaliza mbona wao hawana? Hapa wanaotakiwa kulaumiwa ni wale wenzetu wanaokaa na wazungu,wanajua mbinu zinazotumika lakini hawajali
 
Mbona hua naona dawa zote zinaelekeza kupata ushauri wa chemist/physist sio pharmasist
 
Mbona hua naona dawa zote zinaelekeza kupata ushauri wa chemist/physist sio pharmasist

1. Kiingereza ni lugha yenye matumizi tofauti kimaongezi na kitaalamu.

2. Pharmacists wote ni chemists ila chemists wote siyo pharmacists.

3. Kumbuka physists wote siyo kuwa hutibu, bali wote wanaotibu ni physists.

4. Hapo #3 na #2 wafrika ni weusi lakini kuna weusi si waafrika.

5. Ndiyo maana mkemia jiwe aliwapata wengi na mapigo yake ya nyungu.
 
Shape ya dunia ni kizungumkuti kwako ,miaka 400 nyuma ilishajulikana kitaalamu watu wanawaza kwenda sayari nyingine sasa
 
Bado ni DEBATE kuna theory zinasema ni duara nyingine Flat nyingine Sphere nyingine Oval kila mtu na Lake dunia bado hii Technology bado changa sanaa.Ni kweli zimeanza zamani ila bado changa sanaa Tech za viwanda,Simu hazima hata miaka 50
Sio kweli dunia inaonekana vizuri kitaalamu tena sio dunia tu bali sayar zote ndani ya solar system na magimba mengine ya karibu
 

Wewee wacha uoga. Ukimwi haupogo, wee umewahi kumuona mgonjwa wa ukimwi?
 
Hadithi za kina Mathanzua hizi..
 
Wewe tulia uhangaike huko upate ukimwi uje utusumbue tukutafutie tibaa😂😂😂😂
 
Kwa nini ziwe hadithi,tena za akina Mathanzua?Mimi niko hivi,I do not dispute anything unless I have proved that it is not correct.Do likewise,utajifunza ukweli mwingi na utakuwa mtu mwenye busara sana.
Kusema magonjwa kama COVID-19 au Ukimwi ni 'Scam' inatia hofum
 
Wewe bado una akili ya kushikiwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…