yellow java
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 1,228
- 2,234
Kwani kwenye mifano yako lazima umshilikishe mzee ?1. Kiingereza ni lugha yenye matumizi tofauti kimaongezi na kitaalamu.
2. Pharmacists wote ni chemists ila chemists wote siyo pharmacists.
3. Kumbuka physists wote siyo kuwa hutibu, bali wote wanaotibu ni physists.
4. Hapo #3 na #2 wafrika ni weusi lakini kuna weusi si waafrika.
5. Ndiyo maana mkemia jiwe aliwapata wengi na mapigo yake ya nyungu.
Hiyo nyungu ndo ilitusaidia Wananchi na baadhi ya hospital kubwa za Tanzania wakaanzisha huduma ya nyungu na matokeo yake yanajulikana.