LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,122
- 9,209
unaonekana unaangalia sn tamthiliya za mapenzi ya kifilipino. unalalamika vocha? wenzio tunagharamia mpaka za ada za wadogo zao na bado tunajitamba tunapendwa,,,,,,, we vipi? Kampende mbuzi gharama yake kumlisha nyasi tu tena za bure
hahahah labda kijijini sitimbi huko ndio nyasi za bure mjini hapa zinauzwa