Hivi wakurya wana sifa gani kwenye ndoa?

Inasikitisha
 
Inategemea unataka Mkurya yupi wa mjini alistarabishwa na mji au yule original toka Mara ?

Wa mjini hana tofauti na wanaume wengine ila viashiria ya poti poti lazima atakuwa navyo, kama ukileta ujinga unachezea kichapo fasta..

Original yeye ni moto mara moja hana kulemba ...
 
Kupiga,jamaa wanapiga hatar afu mke Hata hadai talaka kuna jirani yetu alikua anampiga mkewe mpaka anampasua afu kesho yake mnawaona hao pamoja,,kuna siku alimrushia yale masimbi makubwa kama yale wanayouza shoppers nje afu mashemeji zake walikuwepo tu wanaangalia [emoji1373]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi si mkurya ila nimeishi na kuoa ukuryani nakubaliana na hoja zako 100%

Sent from my TECNO CF8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…