Hivi wakurya wana sifa gani kwenye ndoa?

3/4 ya wakurya wana ukoloni sana(wababa) wanadidimiza sana haki za wanawake so kwao ni viumbe dhaifu mno
Familia nyingi za wakurya baba ni zaid ya gaid yaan huwez kukuta amecheka au ametabasam
Muda wote baba ni mtu serious sana yaan hamuwez hata kukaa nae sebulen kuangalia tv
Watoto wakisiikia baba karud hao kulala

Ukweli namshukuru Mungu kuzaliwa familia ya dini na iliyoelimika imenisaidia sana kutokuwa na element za kikurya
My dad is the best ukitukuta tunataniana hutaamin ni wakurya

But famiilia nyingi nilizotembelea aisee ni worse mpk najiuliza hawa hata unyumba wanapeanaje? Wanaombanaje?
 
Sio kweli
 
Nakazia ✍️✍️✍️
Umenena vyema!
 
Kuna mkurya kamuoa mchaga aisee yule dada anapigwa balaa hata akiwa mjamzito had anapoteza fahamu.



Pia wanakuwaga malaya hawajatulia!

Ndipo utashangaa Kwanini hawako fair?

Yaani Mwanaume anafanya cheating na mke anathibitisha halafu badala ya ku admit na kuwa humbled lakini ndio kwanza wanakuwa wakorofi na vipigo juu! [emoji848][emoji848]

Yani Mwanaume anakukosea kosa kubwa halafu anakukosea tena na kukuumiza moyo wako!

Imagine cheating ni kosa kwenye ndoa tena kubwa halafu anakuongezea kukubutua vipigo vya kufa mtu!

Hao jamaa mmnh ni noma sana!
 
Na wanawake zao sasa wenye chimbuko la huko nao sio wa kuwachukulia poa hata kidogo!

Hata mkiwa sehemu ya kazi usijiachie uka relax kuwaamini mazima!
 
Hao kuchepuka ni kama vile ruksa [emoji108]

Na kesi ya hivyo utanpelekea nani wakati bana mkwe ana wake wengi?

Halafu ni Wakristo Eti!
Kwani wakristo wamekatazwa kuwa na wake wengi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…